Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge aomba chakula cha msaada Kwimba

WILAYA ya Kwimba inakabiliwa na njaa, hali ambayo mbunge wa Sumve , Richard Ndassa ameomba Serikali kuwaletea wananchi chakula cha msaada.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE ATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAATHIRIKA WA MVUA JIMBONI KWAKE

 Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Chalinze Bw. Idd Swala (mwenye kanzu), ambaye alimwakilisha mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ridhiwani Kikwete akikabidhi kwa  wakaazi wa Chalinze misaada ya chakula baada ya  nyumba zao kuharibiwa vibaya kutokana  na mvua kubwa iliyonyesha hivi karibuni.

 

5 years ago

Michuzi

QNET YATOA MSAADA WA CHAKULA NA VITU VINGINE KWENYE KITUO CHA KULELEA YATIMA CHA MAZIZINI


· NI SEHEMU YA MPANGO WA KUSAIDIA JAMII KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI 
Tarehe 24, Mei 2020, Zanzibar QNET, kampuni ya mauzo ya moja kwa moja inayoongoza yenye asili ya Asia imetoa msaada wa magunia ya vyakula, galoni za mafuta ya kupikia, vifaa vya usafi, vinywaji baridi na vitakasa mikono (sanitizers) kwenye nyumba ya kulelea yatima ya Mazizini Zanzibar. Hizi ni jitihada za mwezi mtukufu wa ramadhani zenye lengo la kuboresha maisha ya walio wengi na inaendana na falsafa ya kampuni ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Somalia:7 wauawa wakisubiri chakula cha msaada

Polisi katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu wameripotiwa kuua watu saba wakati wa shuguli ya mgao wa chakula cha msaada katika kambi moja ya wakimbizi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Exim yapanda miti na kutoa msaada wa chakula kituo cha wazee Moshi

Tree Planting Pix 1

Meneja wa Benki ya Exim wa Tawi Moshi mkoani Kilimanjaro, Bw. John Ngowi akipanda mti wakati wa zoezi la upandaji miti lililofanyika baada ya benki hiyo kutembelea kituo cha Wazee cha Njoro katika manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Mbali na kupanda miti, benki pia ilitoa msaada wa chakula katika kituo hicho. Wakishuhudia ni wafanyakazi wa Benki ya Exim jijini Moshi. (Picha na mpiga picha wetu).

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

Benki ya Exim Tanzania imepanda miti mia moja kuzunguka eneo la...

 

11 years ago

Michuzi

ZAIDI YA WANANCHI 50 WAHANGA WA MAFURIKO WAPATIWA MSAADA WA CHAKULA KIJIJI CHA THEMI YA SIMBA ARUSHA

Mzee wa kanisa la Waadventista wasabato  mtaa wa kijenge   Agrey Tumaini akigawa mahindi kwa wananchi wa kitongoji cha kitongoji  cha Nyamagana  kilichopo katika kijiji cha Themi ya simba wilayani Arumeru MKoani Arusha (picha na woinde shizza,Arusha=========  ======  ====== Na Woinde shizza,Arusha
Zaidi ya wananchi  50  wa kitongoji  cha Nyamagana  kilichopo katika kijiji cha Themi ya simba wilayani Arumeru MKoani Arusha ambao waliathiriwa na mafuriko yaliotokea mwisho mwa mwezi wa nne...

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI ZA MAAFA NGAZI ZA MIKOA, WILAYA NA VIJIJI ZASHAURIWA KUOMBA MBEGU BADALA YA CHAKULA CHA MSAADA

Mkuu wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Mohamed Utaly akimkabidhi mkazi wa kijiji cha Kiegea, Bibi Sarah Matereka mbegu za mtama kwa ajili ya shamba lake kama mpango wa wilaya hiyo kuhamasisha wananchi wilayani humo kulima mazao yanayohimili ukame ili kukabili maafa ya njaa , wanaoshuhudia kushoto ni Mkurugenzi Idara ya uratibu maafa Ofsi ya Waziri Mkuu, Brig. Jen. Mbazi Msuya na katikati ni mbunge wa Jimbo la Mpwapwa, Mhe. George Lubeleje tarehe 31 Desemba, 2015. Mmiliki wa shamba la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge ataka fedha za mradi Kwimba

MBUNGE wa Kwimba, Shanif Mansoor (CCM), ameeleza kusikitishwa na kusimama kwa ujenzi wa mradi mkubwa wa bwawa la kilimo cha umwagiliaji Kata ya Mwang’halanga wilayani hapa, na kuitaka serikali ipeleke...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE PETER MSIGWA AKABIDHI MSAADA WA VYAKULA CHUO CHA ISLAMIC CENTER

 Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa akikabidhi msaada wa Sukari, kwa Kaimu Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Abubakari Chalamila kwa ajili ya kituo cha Kitanzani Islamic center kilichoko mjini Iringa. Baadhi ya misaada iliyotoa mbunge wa Iringa mjini mch. Peter Msigwa kwa kituo cha  chuo cha Kitanzani Islamic center kilichoko mjini Iringa.  (Picha zote na Denis Mlowe). 
 Na Denis Mlowe,Iringa MBUNGE wa Iringa Mjini(Chadema) Mchungaji Peter Msigwa amekikabidhi chuo cha Kitanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani