Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge aongeza mauzo kadi za CCM

MAHITAJI ya kadi na bendera za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kilolo mkoani Iringa yametajwa kuongezeka kwa kile kinachodaiwa ni matokeo ya uhamasishaji unaofanywa na Mbunge wa Kilolo, Profesa Peter Msolla.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mbunge Siha atakiwa akapokee kadi za CCM

ZAIDI ya wanachama 100 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kijiji cha Sanya Hoye wilayani Siha, Kilimanjaro, wametangaza kutaka kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), huku wakimtaka mbunge wa...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE AZZA HILAL AKABIDHI KADI ZA BIMA YA AFYA ALIZOWAKATIA WAZEE KITUO CHA BUSANDA


Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga,Mhe. Azza Hilal Hamad  (CCM) amekabidhi kadi za Bima ya afya iliyoboreshwa (ICHF) alizowakatia wazee 17 waliopo  kituo cha kulelea Wazee cha Busanda kilichopo halmashauri ya wilaya ya Shinyanga ili wapate huduma za afya bila usumbufu.
Mhe. Azza amekabidhi kadi hizo za bima ya afya leo Ijumaa Mei 8,2020 alizoahidi kuwalipia alipofika katika kituo hicho Oktoba 5,2019 akiwa ameambatana Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko kusherehekea Siku ya...

 

9 years ago

Habarileo

Watano wa ACT warudisha kadi CCM

MGOMBEA Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amevunja ngome ya upinzani mkoani Tanga, baada ya kuzoa wanachama zaidi ya 600 kutoka upinzani wakiwemo wagombea udiwani watano kutoka chama cha ACT - Wazalendo.

 

9 years ago

Mtanzania

Mwapachu arudisha kadi ya CCM, Tanu

IMG_9794NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

ALIYEWAHI kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Juma Mwapachu, amerejesha rasmi kadi za Chama cha Tanu na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kadi hizo alizirudisha katika ofisi za chama hicho zilizopo eneo la Mikocheni A jijini Dar es Salaam jana na kuzikabidhi kwa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Kata ya Mikocheni, Sudi Odemba.

Mwapachu ambaye ni kada mkongwe wa chama hicho, alisema kadi ya Tanu yenye namba 819820 aliipata Aprili 6,...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanachama 150 CCM kupewa kadi Januari 4

>Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Pugu Kigogo Fresh linapanga kutoa kadi kwa wanachama wapya zaidi ya 150 katika hafla ya aina yake itakayofanyika kwenye Uwanja wa Soka wa Pugu Kigogo Fresh Veterans, Januari 4, mwakani.

 

9 years ago

GPL

BALOZI MWAPACHU ARUDISHA RASMI KADI YA CCM

Balozi Mwapachu (kulia) akikabidhi kadi yake ya uanachama wa CCM kwa Katibu wa Siasa na Uenezi CCM, mtaa wa Mikocheni A, Sudi Odemba. KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Juma Mwapachu leo amerejesha kadi yake ya uanachama ofisi za chama hicho zilizopo Mikocheni A jijini Dar es Salaam. Balozi Mwapachu aliyetangaza kukihama chama hicho juzi (Jumanne) kwa madai...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM AKABIDHI PIKIPIKI 9 NA BAISKELI 86 KWA KATA NA MATAWI YA CCM WILAYA YA KIBAHA VIJIJINI,PIA AKABIDHI KADI KWA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 100

 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akikabidhi funguo ya Pikipiki kwa mmoja wa Makatibu Kata katika Wilaya ya Kibaha Vijijini,wakati wa shunguli ya kukabidhi Pikipiki 13 kwa Makatibu Kata na Baiskeli 86 kwa Wenyeviti wa Matawi ya CCM yaliopo kwenye Wilaya hiyo,Vifaa hivyo vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini,Mh. Hamoud Abuu Jumaa (kulia).  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana akikabidhi sehemu ya Baiskeli 86 kwa...

 

10 years ago

GPL

VIJANA 30 WA CCM-VYUO VIKUU WASALIMISHA KADI ZAO CHADEMA

Vijana hao wakiwa katika Tawi la Chadema, Mwananyamala jijini Dar. VIJANA takribani 30 wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), leo wamesalimisha kadi zao za CCM katika tawi la Chadema lililopo Mwananyamala, jijini Dar es Salaam kwa madai kuwa hawakuridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa CCM. Mmoja wa…

 

5 years ago

CCM Blog

SUMAYE AKABIDHIWA KADI YA UANACHAMA NA KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally (aliyesimama) akizungumza jambo kabla ya hafla fupi ya kumkabidhi rasmi kadi ya uanachama wa chama hicho Waziri Muu Mstaafu ndugu Fredrick Sumaye leo Machi 29 jijini Dodom.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda (aliyesimama) akizungumza jambo katika hafla fupi ya kukabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa chama hicho Waziri Muu Mstaafu ndugu Fredrick Sumaye leo Machi 29 jijini Dodom. 
 Waziri Muu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani