Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge auawa Jamuhuri ya Afrika ya Kati

Mbunge mmoja wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati ambaye alikuwa amepinga mauaji ya Waislamu nchini humo ameuawa kwa kupigwa risasi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mbunge auawa Somalia

Watu waliojihami na silaha nchini Somalia wamemuua kwa kumpiga risasi mbunge mmoja na kumjeruhi vibaya mwingine kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbunge auawa nchini Kenya

Mbunge mmoja ameuawa kwa kupigwa risisi kwenye mji mkuu wa kenya Nairobi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mbunge auawa na Al Shabaab Mogadishu

Mbunge mmoja ameuawa na mwingine kujeruhiwa katika shambulizi la bomu mjini Mogadishu ambalo kundi la Al Shabaab limekiri kufanya.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mbunge mwingine auawa Somalia

Mbunge mwingine ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Mogadishu, Somalia akiwa ni mbunge wa pili kuuawa mjini humo katika muda wa masaa 24.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamuziki Mbunge auawa Somalia

Kundi la Alshabab limekiri kutekeleza Shambulizi ambalo Mbunge wa Somalia Saado Ali Warsame amepigwa risasi na kuawa .

 

11 years ago

CloudsFM

Mwanamuziki na Mbunge wa Somali Saado Ali auawa

Mwanamuziki maarufu ambaye pia ni mbunge nchini Somalia, Saado Ali Warsame amepigwa risasi na kufa na wanamgambo. Aliuawa pamoja na mlinzi wake, katika shambulio la kutumia gari mjini Mogadishu.

Msemaji wa kundi la al-Shabaab, Abdulaziz Abu Musab ameiambia BBC kuwa ameshambuliwa kutokana na sababu za kisiasa na sio muziki wake.

Mwandishi wa BBC mjini Mogadishu Mohammed Moalimu amesema huyu ni mbunge wa nne kuuawa mwaka huu. Bi Warsame alipata umaarufu enzi za utawala wa rais wa zamani Siad...

 

11 years ago

Bongo5

Mwanamuziki na mbunge wa Somalia Saado Ali auawa

Mwanamuziki maarufu ambaye pia ni mbunge nchini Somalia, Saado Ali Warsame amepigwa risasi na kufa na wanamgambo. Aliuawa pamoja na mlinzi wake, katika shambulio la kutumia gari mjini Mogadishu. Msemaji wa kundi la al-Shabaab, Abdulaziz Abu Musab ameiambia BBC kuwa ameshambuliwa kutokana na sababu za kisiasa na sio muziki wake. Mwandishi wa BBC mjini Mogadishu […]

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA SOMALIA, YUSUF DIRIR AUAWA KATIKA SHAMBULIO MOGADISHU

Gari alilokuwemo Yusuf Dirir. MBUNGE wa Somalia, Yusuf Dirir ameuawa kwa kupigwa risasi katika Mji wa Mogadishu jana.
Wanausalama wameeleza kuwa Yusuf Dirir aliuawa baada ya gari lake kushambuliwa na wanamgambo wanaodhaniwa kuwa wa Kundi la Al Shabaab. Wapiganaji wa Al Shabaab. Wafanyakazi wengine watatu wa Wizara ya Usafirishaji nao pia waliuawa katika shambulio lingine lililotokea jana.
Takribani wabunge watano waliuawa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani