Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE FILIKUNJOMBE ALALA ZAHANATI YA MBONGO WANANCHI WAFANYA SHEREHE‏

Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akikabidhiwa zawadi ya mfano wa Mtumbwi na wananchi wa Mbongo Ludewa Wananchi wa Mbongo wakimsalimu mbunge wao Deo Filikunjombe baada ya kufika kijijini hapo na kulala katika zahanati ya kijiji hicho WANANCHI wa kijiji cha Mbongo wilaya ya Ludewani mkoani Njombe wakesha usiku kucha kufurahia mbunge wao Deo Filikunjombe kuwa kiongozi wa kwanza toka nchi ipate uhuru mwaka 1961… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MBUNGE MGIMWA APIGANIA UMEME KALENGA, WANANCHI WAKE WAMPONGEZA‏

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akiwa katika usafiri wa Baiskeli  kutembelea wananchi  wake. MBUNGE wa Kalenga Godfrey Mgimwa (CCM) ameiomba Serikali kupeleka umeme katika vijiji vilivyopitiwa na umeme huku vyenyewe vikikosa Nishati hiyo. Alitoa ombi hilo wakati akiuliza swali la nyongeza Bungeni ,Mgimwa alivitaja vijiji vilivyopitiwa na umeme ni Kipela kata ya Nzihi,Wenda kata ya Mseke , Tagamenda kata ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA KAWE CHADEMA ALALA SEGEREA BAADA YA KUSHINDWA MASHARTI YA DHAMANA

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee na wenzake tisa wamepelekwa katika Gereza la Segerea jijini Dar baada ya kushindwa kutimiza baadhi ya masharti ya dhamana yao.
Mdee na wenzake nane mapema leo walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar na kukana tuhuma zinazowakabili.Mdee na wenzake hao wanashitakiwa kwa makosa mawili kototii amri za maofisa wa polisi na kufanya maandamano kinyume na sheria Jumamosi iliyopita ya Oktoba...

 

10 years ago

GPL

WANANCHI LUVUYO NA MBUNGE WAJENGA BARABARA YENYE THAMANI YA TSH MILIONI 52‏

Wananchi wa Kijiji cha Luvuyo Kata ya Madope wakimpokea Mbunge wao, Deo Filikunjombe kwa maandamano. Wanachama wa Chama  Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wananchi wa Kijiji cha Luvuyo kata ya Madope…

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WAFURAHIA UJENZI WA ZAHANATI

Na Mwandishi wetu Mihambwe

Wananchi wameonyesha kufurahishwa na kitendo cha Serikali kuendeleza ujenzi wa Zahanati ambazo zilisimama ujenzi kwa muda mrefu.

Hayo yamejitokeza kwenye ziara aliyoifanya Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu ya kufuatilia ujenzi wa Zahanati ya Mitondi iliyopo Kijiji cha Mitondi B kata ya Kitama pamoja na Zahanati ya Miuta iliyopo Kijiji cha Miuta kata ya Miuta ambapo alikuta ujenzi ukiendelea kwa kasi hali inayowafurahisha Wananchi kiasi cha kuamua kujitoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kweli Mbunge Filikunjombe, anafaa kuigwa?

Inawezekana kuwa Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe ni mfano wa kuigwa na wabunge wengine wenye uchungu na wananchi wao hata kuwasaidia kujiletea maendeleo kwa kutatua kero mbalimbali zinazowakabili.

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE FILIKUNJOMBE AKIPIGA KAZI LUDEWA

 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na Wapigakura wake kushusha rola la Nyaya za umeme kwenye kijiji cha Luhana kata ya Luana wilayani Ludewa  jana kwa ajili ya mradi wa umeme  vijijini ambapo kijiji hicho pia kinatarajiwa kupata umeme  hivi karibuni. Mbunge jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na wapiga kura wake kushusha Transfoma jana kwa ajili ya kufungwa kwenye mradi wa umeme unaotekelezwa kwenye  kijiji cha Luana wilayani Ludewa mkoani Njombe. 

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI UJENZI ZAHANATI


~ Kuwaondolea kero ya afya
~ Waridhishwa na ujenzi
 Na Mwandishi wetu Mihambwe 
Wananchi wa Kijiji cha Miuta kata ya Miuta wamemshukuru Rais Magufuli na Serikali yake kuwajengea Zahanati ya Miuta ambayo inaenda Kuwaondolea kero ya kupata huduma ya afya. 
Wananchi hao ambao awali wameridhishwa na kasi na kiwango cha ujenzi wa Zahanati hiyo wameomba Zahanati hiyo...

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE MWAKANG'ATA WA RUKWA AKABIDHI MSAADA WA VIFAA TIBA ZAHANATI YA MAJENGO

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata (kulia) akizungmza  baada ya kukabidhi msaada wa vifaa tiba katika Zahanati ya Majeno, mkoani Rukwa hivi karibuni.

 

9 years ago

Eatv

Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amefariki dunia

TANZIA: Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe pamoja Kapteni William Silaa ambaye ni baba yake Jerry Silaa, wamefariki dunia katika ajali ya helkopta iliyotokea jana jioni kwenye msitu wa Selous. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani