Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kweli Mbunge Filikunjombe, anafaa kuigwa?

Inawezekana kuwa Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe ni mfano wa kuigwa na wabunge wengine wenye uchungu na wananchi wao hata kuwasaidia kujiletea maendeleo kwa kutatua kero mbalimbali zinazowakabili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

DK KABATI MBUNGE WA KUIGWA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA


Mbunge Dk. Ritha Kabati
                        Na Richard Mwaikenda

MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Dk. Ritha Kabati amechapisha kitabu cha kurasa 15 kinachoelezea  alivyoshiriki katika kampeni ya kuelimisha wananchi jinsi ya kukabiliana na janga la Corona.


Kampeni hiyo ameifanya katika vijiji mbalimbali vilivyopo katika wilaya tatu za mkoa wa Iringa, ambazo ni Mufindi, Kilolo na Iringa.


Katika kuhakikisha Serikali inafanikisha azma yake ya kukabiliana na ugonjwa wa  homa kali ya mapafu ...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE FILIKUNJOMBE AKIPIGA KAZI LUDEWA

 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na Wapigakura wake kushusha rola la Nyaya za umeme kwenye kijiji cha Luhana kata ya Luana wilayani Ludewa  jana kwa ajili ya mradi wa umeme  vijijini ambapo kijiji hicho pia kinatarajiwa kupata umeme  hivi karibuni. Mbunge jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akishirikiana na wapiga kura wake kushusha Transfoma jana kwa ajili ya kufungwa kwenye mradi wa umeme unaotekelezwa kwenye  kijiji cha Luana wilayani Ludewa mkoani Njombe. 

 

10 years ago

Eatv

Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amefariki dunia

TANZIA: Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe pamoja Kapteni William Silaa ambaye ni baba yake Jerry Silaa, wamefariki dunia katika ajali ya helkopta iliyotokea jana jioni kwenye msitu wa Selous. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

 

11 years ago

GPL

MBUNGE FILIKUNJOMBE ALALA ZAHANATI YA MBONGO WANANCHI WAFANYA SHEREHE‏

Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akikabidhiwa zawadi ya mfano wa Mtumbwi na wananchi wa Mbongo Ludewa Wananchi wa Mbongo wakimsalimu mbunge wao Deo Filikunjombe baada ya kufika kijijini hapo na kulala katika zahanati ya kijiji hicho WANANCHI wa kijiji cha Mbongo wilaya ya Ludewani mkoani Njombe wakesha usiku kucha kufurahia mbunge wao Deo Filikunjombe kuwa kiongozi wa kwanza toka nchi ipate uhuru mwaka 1961… ...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE FILIKUNJOMBE ATOA MSAADA WA ZAIDI YA TSH MILIONI 15 UKARABATI WA KANISA LA RC MADUNDA

Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa  Deo Filikunjombe  akizungumza na  waumini wa kanisa la RC Madunda mara  baada ya  kusaidia kanisa  hilo kiasi cha Tsh milioni 15  za ukarabati wa kanisa na vinanda  viwili  vya kwaya kanisani  hapoViongozi  wa kanisa hilo wakimshangilia mbunge  huyo kwa  msaada wakeWaumini  wa kanisa   hilo  wakifurahia  misaada  ya mbunge  wao.bofya hapa kuona picha...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE NA WAGENI WAKE KUTOKA LUDEWA WAPAGAWISHWA NA MJOMBA BENDI

Msanii Mrisho Mpoto  mkurugenzi  wa Mjomba Bend  akipiga picha na  viongozi  wa CCM kutoka  Ludewa katika  show iliyoandaliwa na mbunge  wa  jimbo la Ludewa  Deo Filikunjombe usiku  huu jijini Dar es Salaam Viongozi wa CCM kutoka  kata za  wilayaya Ludewa  wakijipongeza kwa  show kali kutoka kwa Mjomba Bendi baada ya kumaliza mafunzo ya uongozi  jijini Dar Mkurugenzi  wa bendi ya Mjomba Mrisho  Mpoto  akicheza  na  wana Ludewa katika  show kali  iliyoandaliwa na mbunge wao  Deo...

 

10 years ago

Michuzi

ZITTO ; FILIKUNJOMBE NI MCHAPAKAZI MZURI, CHIKU AMTAKA MBUNGE MSIGWA AONYESHE ALICHOFANYA JIMBONI

Ziito Kabwe  akiwa na mume  wa Chiku Abwao na Chiku Abwao  na kada wa ACT wazalendo. Zitto kabwe  akiwa na wapambanaji Zitto kabwe  akiwahutubia  wananchi wa jimbo la Iringa mjini Chiku  Abwao  akiwahutubia wananchi wa jimbo la Iringa mjini Mgombe  udiwani wa kata ya Mvinjeni Abuu Majeck akimpongeza mgombea  ubunge jimbo la Iri nga mjini Chiku Abwa.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE APINGWA KUPITA BILA KUPINGWA MCHAKATO WA UCHAGUZI MKUU

 Mgombea Ubunge Jimbo la Ludewa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Msambichaka Mkinga (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akipinga kupitishwa bila kupingwa mgombea mwenzake wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe na kudai kulikuwa na hujuma. Kulia ni Wakili wake, Paulo Kalomo.  Mgombea Ubunge Jimbo la Ludewa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Msambichaka Mkinga, akionesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani