Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK KABATI MBUNGE WA KUIGWA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA


Mbunge Dk. Ritha Kabati
                        Na Richard Mwaikenda

MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Dk. Ritha Kabati amechapisha kitabu cha kurasa 15 kinachoelezea  alivyoshiriki katika kampeni ya kuelimisha wananchi jinsi ya kukabiliana na janga la Corona.


Kampeni hiyo ameifanya katika vijiji mbalimbali vilivyopo katika wilaya tatu za mkoa wa Iringa, ambazo ni Mufindi, Kilolo na Iringa.


Katika kuhakikisha Serikali inafanikisha azma yake ya kukabiliana na ugonjwa wa  homa kali ya mapafu ...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali, sayansi na sintofahamu ya mapambano dhidi ya corona Tanzania

Wakati serikali zote duniani zimeendelea kujifunza namna sahihi ya kupambana na ugonjwa huu, zipo zinazosifika na zile zinazokosolewa kwa namna zinavyopambana na Corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Imani za kidini zinasaidia au zinadidimiza mapambano dhidi ya corona?

Katikati ya mwezi Machi mwaka huu nchi ya Malaysia ilifunga mashule, ofisi na sehemu za ibada katika juhudi za kupambana kuenea virusi vya corona, baada ya kubaini mikusanyiko katika misikiti ilichangia pakubwa kuripuka kwa ugonjwa huo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je, dawa za mitishamba zina nafasi katika mapambano dhidi ya corona?

Dawa ya asili ya Covid-19 ambayo imetengenezwa nchini Madagascar na kutangazwa na rais Andry Rajoelina imezua mijadala kuhusu matumizi ya dawa za mitishamba barani Afrika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi kinyesi cha kuku kinavyotumika mapambano dhidi ya corona

Jinsi Sweden inavyotumia mbinu ya ajabu kupambana na maambukizi ya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mapambano dhidi ya Corona DRC

Makala inayoonyesha kwa picha changamoto ambazo raia wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanakabiliana nazo katika mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko kwa mwaka 2020.

 

5 years ago

Michuzi

MSIBWETEKE KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA.


Na WAMJW- DSM

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Rashid Mfaume ametoa wito kwa wananchi, hususan Jijini Dar es Salaam kutobwete na kuwataka kuendelea kuchukua hatua za tahadhari ili kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona katika kipindi hiki.

Dkt. Rashid Mfaume ametoa wito huo leo, wakati akipokea msaada wa barakoa 17,500 sawa na maboksi 350, na vipukusi (sanitizers) lita 700 ambayo ni sawa na madumu 140 yenye ujazo wa lita 5 kutoka kwa Shirika lisilo Lakiserikali la...

 

5 years ago

Michuzi

LHRC WACHANGIA VIFAA KINGA, MAPAMBANO DHIDI YA CORONA


Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Anna Henga (katikati) akiwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Rashid Mfaume wakati wa makabidhiano ya vifaa kinga.
Katika kukabiliana na mlipuko wa virusi vya corona, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kuendelea kutoa elimu kwa umma juu ya namna ya kukabiliana na maambukizi. 
Maambukizi ya virusi vya corona yanaathiri haki za msingi ikiwemo haki ya kuishi, haki ya kufanya kazi na kupata ujira, haki...

 

5 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa WHO aipongeza Iran kwa mapambano yake dhidi ya Corona

Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambaye ameitembelea Iran hivi karibuni amepongeza juhudi kubwa za vyombo na taasisi za afya hapa nchini katika kupambana na virusi vya Corona.

Dr. Christoph Hamelmann ameashiria ziara na ukaguzi wake akiwa pamoja na wataalamu kutoka China katika hospitali na taasisi za afya nchini Iran na kusema: Wataalamu wa China wameathiriwa sana na huduma zinazotolewa katika hospitali hizo.

Mwakilishi wa WHO amesema kuwa, kuwepo vituo bora na madhubuti vya huduma...

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA WENYE UWEZO WATAKIWA KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA



Mkurugenzi wa Kiwanda cha Husseini Plastic Industries Limited cha Jijini Tanga, Yusuph Hassanali kushoto akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada huo

Mkurugenzi wa Kiwanda cha Husseini Plastic Industries Limited cha Jijini Tanga, Yusuph Hassanali kulia akimsikiliza kwa umakini Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto wakati wa makabidhiano ya msaada huo

Mkurugenzi wa Kiwanda cha Husseini Plastic Industries Limited cha Jijini Tanga, Yusuph Hassanali kulia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani