Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge John Komba wa Tanzania afariki

Mbuge na msanii wa nyimbo za siasa nchini Tanzania Keptain John Komba amefariki jumamosi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA

MSIBA MZITO: Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba (pichani), amefariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ jiijini Dar, mtoto wa marehemu Herman Komba amethibitisha huku akilia. HABARI ZAIDI  KUWAJIA HIVI PUNDE.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Kapteni John Komba afariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ

KOMBA

Kutoka chumba cha habari cha modewjiblog , aliyekuwa Mkurugenzi wa TOT na Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi, mkoa wa Ruvuma, Kapteni John Komba (pichani) amefariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ Mikocheni jijini Dar alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Mtoto wake Jerry Komba amesema chanzo cha kifo chake ni Kushuka kwa Sukari akiwa nyumbani kwake Mbezi, na kumpeleka Hospitali ambako mauti yalimkuta.

Chanzo cha habari chetu kinasema taratibu za kuhamisha mwili wa marehemu...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atoa Salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Mbunge wa Mbinga,Mh. John Komba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko mkubwa na huzuni nyingi taarifa za kifo cha ghafla cha Mheshimiwa Kepteni John Damian Komba, Mbunge wa Jimbo la Nyasa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa ya CCM na msanii hodari sana wa kizazi chake.
Katika salamu zake za rambirambi kwa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Anne Semamba Makinda na Katibu Mkuu wa CCM, MheshimiwaAbdulrahman Kinana, Mheshimiwa Kikwete...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbunge afariki katika ajali ya ndege Tanzania

Mbunge wa eneo la Ludewa Deo Filikunjombe, aliyekuwa anamaliza muda wake, amefariki kwenye ajali ya ndege.

 

10 years ago

Daily News

Captain John Komba is no more


Captain John Komba is no more
Daily News
Mbinga West Member of Parliament and Member of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) National Executive Committee (NEC) Captain John Damian Komba is no more. He died at TMJ hospital in Dar es Salaam Today, where he had been admitted few ...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Habarileo

Buriani Kapt John Komba

John Komba enzi za uhai wakeNI huzuni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jimbo la Mbinga Magharibi, Taifa, marafiki na familia, baada ya kufikwa na msiba mkubwa wa kiongozi, Mbunge, Kapteni wa Jeshi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na msanii mashuhuri wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba.

 

10 years ago

Habarileo

Buriani Kapteni John Komba

John Komba enzi za uhai wakeNI huzuni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jimbo la Mbinga Magharibi, Taifa, marafiki na familia, baada ya kufikwa na msiba mkubwa wa kiongozi, Mbunge, Kapteni wa Jeshi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na msanii mashuhuri wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani