Mbunge afariki katika ajali ya ndege Tanzania
Mbunge wa eneo la Ludewa Deo Filikunjombe, aliyekuwa anamaliza muda wake, amefariki kwenye ajali ya ndege.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
STOP PRESS: MBUNGE WA LUDEWA MHE DEO FILIKUNJOMBE AFARIKI KATIKA AJALI YA CHOPA


Mbunge wa Ludewa Mhe Deogratias Haule Filikunjombe (chini) amefariki dunia katia ajali ya Chopa katika hifadhi ya wanyama ya Selous, pamoja na rubani Kepteni William Silaa (juu kulia), mfanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa na ndugu yake Marehemu Filikunjombe ambao majina hayajapatikana mara moja.
Mhe. Deo Filikunjombe, rubani na na abiria wengine walipata matatizo ya engine ya chopa namba 5Y-DKK jana jioni wakitokea Dar kuelekea Ludewa.

11 years ago
Michuzi
MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA
Mhe. Balozi Tuvako Manongi, Muwakilishi wa Kudumu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, jana Jumatano ameungana na Mabalozi wengine wanaoziwakilishi Nchi zao katika Umoja wa Mataifa, kutia saini kitabu cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Udachi ( Netherlandes) katika Umoja wa Mataifa kuwakumbuka watu 298 waliopoteza maisha baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria ya MH17 inayomilikiwa la Shirika la Ndege la Malaysia ...
11 years ago
GPL
MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA AOMBOLEZA VIFO VYA ABIRIA KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA
Balozi Tuvako Manongi,akiandika katika kitabu cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Udachi ( Nertherlands) kuomboleza familia 298  ambazo maisha yao yamekatishwa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria MH17 kuangushwa nchini Ukraine wiki iliyopita.
Balozi Manongi akiwaombea marehemu…
10 years ago
CloudsFM10 Nov
MHUBIRI WA KIMATAIFA DK MUNROE AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA NDEGE
Katika ajali hiyo, ndege ndogo waliyokuwa wakisafiria iligonga winchi na kulipuka wakati ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Grand Bahama.
Dk. Munroe ambaye pia alikuwa mzungumzaji maarufu wa mambo ya uongozi na biashara duniani, Oktoba 21, mwaka huu alitoa somo kwa viongozi mbalimbali nchini katika mkutano wake mkubwa uliofanyika...
10 years ago
GPL
MBUNGE WA VITI MAALUM CUF, CLARA MWATUKA AFARIKI KWA AJALI
Clara Mwatuka enzi za uhai wake. Aliyekuwa Mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Clara Mwatuka, amefariki dunia leo Jumapili jioni baada ya gari lake alilokuwa akisafiria kupinduka lilipokuwa linashuka eneo la Makonde Plateu kuelekea Ndanda, Masasi mkoani Mtwara. Gari alilopata nalo ajali marehemu Mwatuka. Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake, ambaye inasemekana ni mwanaye. Maiti ya marehemu Mwatuka...
10 years ago
Vijimambo10 Aug
Mbunge wa Viti maalumu CUF, Mama Clara Diana Mwatuka afariki Dunia kwa ajali!

Aliyekuwa Mbunge wa Viti maalumu CUF mama Mwatuka amefariki dunia baada ya gari lake kupinduka lilipokuwa linashuka Makonde Plateu kuja Ndanda.Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake,ambaye inasemekana ni mwanae.Maiti ipo chumba cha maiti Hospitali ya Rufaa, Ndanda Regional Referral hospital.


10 years ago
Bongo516 Oct
Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe afariki dunia kwa ajali ya helikopta, abiria wote wamepoteza maisha
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe amefariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa akiitumia kwaajili ya kampeni kupata ajali. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa ambaye pia amempoteza baba yake kwenye ajali hiyo. “Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji imefanikiwa kufika eneo la […]
10 years ago
Vijimambo05 Mar
NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
Watu 7 wafariki katika ajali ya ndege N Zealand
Polisi wa New Zealand wanasema kuwa watu wote saba walioabiri ndege iloanguka katika kisiwa cha South Island wamefariki.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania