Mbunge mwingine kazikataa mil.90 za gari jipya, mipango yake ni hii… (+Audio)
Tumezipata za Rais Magufuli kwenye ziara za ghafla, zikaja za Mawaziri wa Rais Magufuli nao kwenye ziara za aina hiyohiyo, taarifa ikufikie kwamba Wabunge nao hawako nyuma.. moto wao uko hivyohivyo. Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mbunge Joshua Nassari nae kafanya ziara yake Hospitali ya Wilaya ya Meru alafu akatoka na haya >>> “Ni aibu unakuja Hospitali […]
The post Mbunge mwingine kazikataa mil.90 za gari jipya, mipango yake ni hii… (+Audio) appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Mbunge mwingine kazikataa mil.90 za gari jipya, mipango yake ni hii…(+Audio)
Kasi ya Rais Magufuli katika kupambana na matumizi holele ya fedha za Serikali imeendelea kushika kasi hata kwa baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani, Hapa nakukutanisha na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari alipotembelea Hospitali ya Wilaya,na kuamua kufanya haya maamuzi. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]
The post Mbunge mwingine kazikataa mil.90 za gari jipya, mipango yake ni hii…(+Audio) appeared first on...
10 years ago
Vijimambo
AUDIO : LEMBELI AELEZA HATMA YAKE BAADA YA KUUKOSA UBUNGE, AJIBU TETESI JUU YAKE IKIWEMO YA KUUZA REDIO YAKE

Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini, James Lembeli ameelezea kinachoendelea katika maisha yake ya kisiasa hasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu akiwa ndani ya chama chake kipya cha Chadema.
Akiongea katika taarifa rasmi kwa wananchi wa jimbo hilo, Lembeli amesema kuwa hivi sasa atajikita zaidi katika shughuli za chama chake pamoja na shughuli alizokuwa akizifanya kabla ya kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Alisema kuwa ataendelea kufanya kazi zake na mashirika ya kimataifa...
10 years ago
Vijimambo
Kigulu Makete hawajawahi kuona gari tangu uhuru, Mbunge akiri, tatizo kukosa barabara, asema mwaka huu wataona gari

Makete. Haitashangaza kusikia wakazi wa kata fulani hawajawahi kuona lami tangu Tanzania ipate uhuru mwaka 1961 kwani katika hali ya kawaida kunakuwapo miundombinu ya barabara ambayo hata kama si kwa kiwango cha kuridhisha, magari yanafika kila kukicha.
Hata kama hayafiki kila siku, lakini wananchi wana uwezo wa kutumia usafiri mwingine kama pikipiki, baiskeli na mikokoteni kuwahi shughuli zao na kusafirisha bidhaa mbalimbali na kujenga uchumi.
Hata hivyo, hali...
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Rais Magufuli kamsimamisha mwingine Dec 22 2015…(+Audio)
Leo Dec 22 2015 Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard. Hapa nimekusogeze dakika mbili za Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akitolea ufafanuzi wa hatua hiyo ya Rais. Bonyeza Play hapa chini kuna kila kitu Unataka kutumiwa MSG za […]
The post Rais Magufuli kamsimamisha mwingine Dec 22 2015…(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Habarileo12 Mar
‘Ufisadi mwingine wa mil 700/- wanukia Nishati’
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa maelekezo kwa Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kufanya uchunguzi wa Sh milioni 699 zinazodaiwa kutolewa na Wizara ya Nishati na Madini kwenda Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambazo zinaonekana kuyeyuka katika mazingira yasiyoeleweka.
9 years ago
Dewji Blog15 Nov
Huyu ndio mchezaji mkubwa aliyempoteza binamu yake katika shambulio la Paris na mwingine kunusurika kumpoteza dada yake
Kiungo wa timu ya Taifa ya Ufaransa na klabu ya Marseille, Lassana Diarra.
Na Rabi Hume, wa Modewjiblog
Shambulio limelotokea usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi katika jiji la Paris, Ufaransa wakati mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Taifa ya Ufaransa na Ujerumani umeacha simanzi kwa kiungo wa timu ya Taifa ya Ufaransa na klabu ya Marseille, Lassana Diarra.
Katika shambulio hilo ambalo linakadiliwa kuua watu zaidi 150 limepelekea Diarra kumpoteza binamu yake, Asta Diakote ambae alikuwa moja...
11 years ago
Michuzi
SIMTANK YAMKABIDHI WAKALA GARI JIPYA DAR ES SALAAM


======== ======= =======Kampuni ya Silafrica Tanzania Ltd,...