Rais Magufuli kamsimamisha mwingine Dec 22 2015…(+Audio)
Leo Dec 22 2015 Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard. Hapa nimekusogeze dakika mbili za Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akitolea ufafanuzi wa hatua hiyo ya Rais. Bonyeza Play hapa chini kuna kila kitu Unataka kutumiwa MSG za […]
The post Rais Magufuli kamsimamisha mwingine Dec 22 2015…(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Mawaziri sita wa Rais Magufuli walivyokula viapo Ikulu Dec 28…..(+Audio & Pichaz)
Dec 28 2015 Baraza la Mawaziri la Serikali ya awamu ya tano limekamilika baada ya Mawaziri watano na Naibu Waziri mmoja kula viapo, Shughuli imefanyika Ikulu Dar es salaam ikiongozwa na Rais John Pombe Magufuli. Hapa chini nimekuwekea sauti yote wakati Mawaziri na Manaibu wakila viapo, unaweza kubonyeza Play>> Unataka kutumiwa MSG za habari zote […]
The post Mawaziri sita wa Rais Magufuli walivyokula viapo Ikulu Dec 28…..(+Audio & Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Video ya Rais Magufuli alivyozipokea taarifa za Zanzibar Dec 26
Dec 26 2015 Rais John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu Dar es salaam. Kwenye hii video hapa chini kuna taarifa kamaili ya yote waliyozungumza viongozi hawa. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]
The post Video ya Rais Magufuli alivyozipokea taarifa za Zanzibar Dec 26 appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Rais MAGUFULI alivyokutana na Maalim Seif leo Dec.21,2015 ikulu…Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli leo Desemba 21,2015 amekutana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Maalim Seif Ikulu Dar es salaam na kufanya naye Mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa visiwani humo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]
The post Rais MAGUFULI alivyokutana na Maalim Seif leo Dec.21,2015 ikulu…Picha appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Coco Beach ikauzwa, barabara mbovu Kinondoni, moto wa Rais Magufuli umemfikia Mkurugenzi Dec 15
Ukikaa karibu na vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kumekuwa na ripoti mpya kila wakati na kadri zinavyonifikia na mimi nahakikisha hupitwi hata kidogo. Kama unakumbuka December 03 2015, Rais Magufuli alikutana na Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania na moja ya vitu alivyokosoa na kuonekana kukasirishwa navyo sana ilikuwa ishu ya kubinafsishwa kwa ufukwe wa […]
The post Coco Beach ikauzwa, barabara mbovu Kinondoni, moto wa Rais Magufuli umemfikia Mkurugenzi Dec 15 appeared first on...
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Rais Magufuli amemalizia kuwateua Mawaziri waliobaki….(+Audio)
Dec 23 2015 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake. Wote wametajwa hapa chini Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]
The post Rais Magufuli amemalizia kuwateua Mawaziri waliobaki….(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Rais Magufuli ndani ya Ikulu na ugeni kutoka Japan, mipango ya umeme ilivyojadiliwa..(+Audio)
Dec 14 2015, Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan Masaharu Yoshida Ikulu jijini Dar es salaa ikiwa ni pamoja na kujadili kuhusu ujenzi wa mtambo wa kuzalisha umeme wa Kinyerezi namba mbili utakaozalisha megawatts 240 za umeme na utakaogharimu Dola za kimarekani milioni 344.2. Hii ndio video kutokea Ikulu, wawezakuitazama kwa […]
The post Rais Magufuli ndani ya Ikulu na ugeni kutoka Japan, mipango ya umeme ilivyojadiliwa..(+Audio)...
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Marufuku ya disko toto?? Walionaswa na pembe za ndovu? Panga la Rais Magufuli? Stori+Audio
Kwenye stori kubwa leo December 23 2015 kuna hizi kubwa zilizoguswa na uchambuzi wa redioni Clouds FM. Kamanda Kova ametangaza kupiga marufuku disco toto siku za sikukuu, atangaza Jeshi la Polisi Dar linawashikilia watu wawili kwa tuhuma na kukutwa na vipande zaidi ya 150 vya pembe za ndovu… Kuna stori pia kuhusu Polisi mmoja kutoroka […]
The post Marufuku ya disko toto?? Walionaswa na pembe za ndovu? Panga la Rais Magufuli? Stori+Audio appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Songea hawana utani na agizo la usafi wa Rais Magufuli.. ukichafua mji wao hawakuachii !!.. (+Audio)
Stori ya aina yake ilitoka Tanzania December 09 2015, sherehe ya uhuru ikaadhimishwa kwa kufanywa usafi kila kona.. lilikuwa agizo la Rais Magufuli na yeye pamoja na viongozi wote wa juu wa Serikali walishiriki kwa 100% kuhakikisha agizo linatekelezwa. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akajiongeza hatua moja mbele, akasema usafi ni kila Jumamosi ya mwisho […]
The post Songea hawana utani na agizo la usafi wa Rais Magufuli.. ukichafua mji wao hawakuachii !!.. (+Audio) appeared first on...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Mbunge mwingine kazikataa mil.90 za gari jipya, mipango yake ni hii… (+Audio)
Tumezipata za Rais Magufuli kwenye ziara za ghafla, zikaja za Mawaziri wa Rais Magufuli nao kwenye ziara za aina hiyohiyo, taarifa ikufikie kwamba Wabunge nao hawako nyuma.. moto wao uko hivyohivyo. Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mbunge Joshua Nassari nae kafanya ziara yake Hospitali ya Wilaya ya Meru alafu akatoka na haya >>> “Ni aibu unakuja Hospitali […]
The post Mbunge mwingine kazikataa mil.90 za gari jipya, mipango yake ni hii… (+Audio) appeared first on...