Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Magufuli ndani ya Ikulu na ugeni kutoka Japan, mipango ya umeme ilivyojadiliwa..(+Audio)

Dec 14 2015, Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan Masaharu Yoshida Ikulu jijini Dar es salaa ikiwa ni pamoja na kujadili kuhusu ujenzi wa mtambo wa kuzalisha umeme wa Kinyerezi namba mbili utakaozalisha megawatts 240 za umeme na utakaogharimu Dola za kimarekani milioni 344.2. Hii ndio video kutokea Ikulu, wawezakuitazama kwa […]

The post Rais Magufuli ndani ya Ikulu na ugeni kutoka Japan, mipango ya umeme ilivyojadiliwa..(+Audio)...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Mawaziri sita wa Rais Magufuli walivyokula viapo Ikulu Dec 28…..(+Audio & Pichaz)

Dec 28 2015 Baraza la Mawaziri la Serikali ya awamu ya tano limekamilika baada ya Mawaziri watano na Naibu Waziri mmoja kula viapo, Shughuli imefanyika Ikulu Dar es salaam ikiongozwa na Rais John Pombe Magufuli. Hapa chini nimekuwekea sauti yote wakati Mawaziri na Manaibu wakila viapo, unaweza kubonyeza Play>> Unataka kutumiwa MSG za habari zote […]

The post Mawaziri sita wa Rais Magufuli walivyokula viapo Ikulu Dec 28…..(+Audio & Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA WAZIRI MKUU WA JAPAN PAMOJA NA SUDAN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akialimiana na Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Japan Seiji Kiara Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Japan Seiji Kiara mara baada ya kufanya nae Mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi Kamal Ismail Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya nje...

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka Ikulu kwa Rais Magufuli leo January 4…

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wanne Ikulu, Dar es salaam. Katika mzungumzo yao wamezungumzia mambo mbalimbali kuhusu mustakabali wa Serikali ya awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa na kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu Gerson Msigwa alisema yaliyojiri katika Mazungumzo […]

The post Matatu kutoka Ikulu kwa Rais Magufuli leo January 4… appeared first on...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AZURU MAENEO YENYE MAWE NDANI YA IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMA, LEO

 Rais Dk. John Magufuli akiwa kwenye miongoni mwa mawe yaliypo ndani ya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, alipoamua kuzuru maeneo yenye mawe hayo, leo. Nyingine ni picha tofauti tofauti akiwa kwenye maeneo hayo ya mawe. (Picha zote na Ikulu



 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais akutana na uongozi wa NEC-Japan Ikulu Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Rais wa Shirika la NEC Corporation la Japan, Dkt. Nobuhiro Endo, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 12, 2014 akiwa ameongozana na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo. (Picha na OMR).

Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal leo amekutana na Uongozi wa Kampuni ya NEC yenye makao yake makuu jijini Tokyo nchini Japan....

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UONGOZI WA NEC-JAPAN IKULU JIJINI DAR LEO

Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal leo amekutana na Uongozi wa Kampuni ya NEC yenye makao yake makuu jijini Tokyo nchini Japan. Ujumbe wa NEC-Japan umeongozwa na Rais wa Kampuni hiyo inayojishughulisha na masuala ya Mawasiliano na Teknolojia, Dkt. Nobuhiro Endo.
Ujio wa Kampuni hii nchini Tanzania unatokana na mwaliko wa Tanzania kwa makampuni ya Japan kufuatia ziara ya kikazi aliyoifanya Mheshimiwa Makamu wa Rais nchini Japan, mwezi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aonana na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko leo Ikulu, Dar

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino alieambatana na Mkewe Princess Kiko walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkurugenzi wa Idara ya Asia Bw. Mbelwa Kairuki kwa Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na Mkewe Princess Kiko waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazunzumzo na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani