Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBWA WA UBALOZI WAMLA MTOTO!

NI vigumu kuamini kilichotokea lakini ndivyo ilivyokuwa! Mtoto Christian Alex (6) ameuawa kikatili kwa kuliwa na mbwa wanaodaiwa kuwa ni wa Ubalozi wa Qatar nchini  Tanzania unaoongozwa na Balozi Jassim Mohammed Mubarak Daruwesh. Mtoto Christian Alex enzi za uhai wake. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Machi 26, mwaka huu Jangwani Beach, Kunduchi jijini Dar es Salaam ambapo mtoto huyo alishambuliwa na mbwa wa kigogo huyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MBWA WAMUUA DENTI, WAMLA

Stori: waandishi wetu
MWANAFUNZI wa Shule ya Msingi Ludewa mkoani Njombe, Ibrahim Faraja Chipungahelo (9) ameuawa kikatili na mbwa wanaosadikiwa kuwa na kichaa kisha kuliwa nyama. Moja ya mbwa anayedaiwa kumla mtoto Ibrahim Faraja Chipungahelo (9) akiwa ameuawa pia. Tukio hilo lililoacha simanzi kubwa kwa wakazi wa Ludewa mjini lilijiri saa 7 mchana wa Agosti 8, mwaka huu katika eneo la Ikilu ambapo marehemu na wenzake...

 

10 years ago

BBCSwahili

Panya wamla mtoto Afrika Kusini

Mtoto wa mwezi mmoja anasubiri kufanyiwa upasuaji baada ya kung'atwa na panya huko Alexandra, Johannesburg

 

9 years ago

GPL

MTOTO ALIVYOLIWA NA MBWA!

Johnson James na Idd Mumba Mtoto mmoja mkazi wa Malimbe jijini Mwanza aliyefahamika kwa jina la Jovina Rwegasira, 7, (pichani) aliyekuwa akisoma kwenye Kituo cha Chekechea cha ABC Malimbe, amefariki dunia baada ya kuvamiwa na mbwa 12 kisha kung’atwa hadi kufa baada ya kunyofolewa sehemu mbalimbali za mwili wake.  Jovina Rwegasira enzi za uhai wake. Akizungumza na gazeti hili mama mzazi wa mtoto huyo, Chausiku Haruna alisema...

 

10 years ago

GPL

MTOTO MIAKA 8 AUAWA NA MBWA

Stori: Haruni Sanchawa na Mayasa Mariwata
INAUMA sana! Aisha Ally mwenye umri wa miaka 8 (pichani), mkazi wa Mtaa wa NSSF, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam ambaye pia alikuwa mwanafunzi wa darasa la tatu  wa Shule ya Msingi ya St. Joseph, Dar, amefariki dunia baada ya kung’atwa na mbwa anayedaiwa kuwa na kichaa, Uwazi lina mkasa wote. Aisha Ally anayedaiwa kushambuliwa na mbwa. Tukio hilo lilijiri hivi karibuni...

 

11 years ago

GPL

MBWA WALIOMLA MTOTO NUSURA WAMLE BABA MTU

Mtoto Christian Alex aliyeliwa na mbwa enzi za uhai wake. Stori: Deogratius Mongela
ZIMEKATIKA wiki mbili tangu kuzikwa kwa mtoto Christian Alex (6)  aliyeuawa kwa kushambuliwa na mbwa watatu waliodaiwa ni wa Ubalozi wa Qatar nchini, mbwa hao wamemkosakosa baba mtu.
Tukio la kuuawa kwa mtoto huyo lilijiri Kunduchi  Jangwani Beach jijini Dar Machi  26, mwaka huu. Kwa mujibu wa chanzo, mara baada ya kumaliza shughuli...

 

9 years ago

StarTV

Mtoto wa miaka 7 afariki kwa kuliwa na mbwa Mwanza

 

Wakazi wa eneo la Malimbe wilayani Nyamagana jijini Mwanza wameingiwa na taharuki baada ya mtoto mwenye umri wa miaka 7 kupoteza maisha kwa kuraruriwa na kuliwa na kundi la mbwa waliokuwa wakizagaa mtaani.

Tukio hilo limetokea Septemba 19 majira ya saa 5 asubuhi wakati mtoto huyo akielekea dukani ambapo vilisababisha taharuki kibwa miongoni mwa wakazi wa mwanzaambalo limekuwa ni geni na halijawahi kutokea kwa wengi waliolishuhudia.

 

 

Mtoto Jovina Lwegasira ambaye alikuwa anasoma elimu ya...

 

11 years ago

Habarileo

Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa

JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa

Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani