MTOTO ALIVYOLIWA NA MBWA!
![](http://api.ning.com:80/files/b8YL1Nsfi8lmGpYzAYFZIl4m9Yoy8SRPoP97aTHsP3BiP2okBCHZLzjfx6FLCr4WhTmbKB4UWPsyhWhErYI-zM94K0kyBDMS/IMG_7968.jpg?width=650)
Johnson James na Idd Mumba Mtoto mmoja mkazi wa Malimbe jijini Mwanza aliyefahamika kwa jina la Jovina Rwegasira, 7, (pichani) aliyekuwa akisoma kwenye Kituo cha Chekechea cha ABC Malimbe, amefariki dunia baada ya kuvamiwa na mbwa 12 kisha kung’atwa hadi kufa baada ya kunyofolewa sehemu mbalimbali za mwili wake. Jovina Rwegasira enzi za uhai wake. Akizungumza na gazeti hili mama mzazi wa mtoto huyo, Chausiku Haruna alisema...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ytz*1w0-YzBnb5M30B1XD3jGiu*m7qy9*te6**jjnNki1NKMtVwI1TrYf3wi4tpwrjiKGQIxoDpw7psl8dntwupCCed38ftZ/Aisha.jpg)
MTOTO MIAKA 8 AUAWA NA MBWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TYEYfrgIbk1AXzMzWSP1aoN8S*fgUyzg72ZwS7GNC0bB9LnEcffsXEyNChniHjClGPCDWvbEdour9ZiPI0hOPbU/mbwa.jpg?width=650)
MBWA WA UBALOZI WAMLA MTOTO!
9 years ago
StarTV21 Sep
Mtoto wa miaka 7 afariki kwa kuliwa na mbwa Mwanza
Wakazi wa eneo la Malimbe wilayani Nyamagana jijini Mwanza wameingiwa na taharuki baada ya mtoto mwenye umri wa miaka 7 kupoteza maisha kwa kuraruriwa na kuliwa na kundi la mbwa waliokuwa wakizagaa mtaani.
Tukio hilo limetokea Septemba 19 majira ya saa 5 asubuhi wakati mtoto huyo akielekea dukani ambapo vilisababisha taharuki kibwa miongoni mwa wakazi wa mwanzaambalo limekuwa ni geni na halijawahi kutokea kwa wengi waliolishuhudia.
Mtoto Jovina Lwegasira ambaye alikuwa anasoma elimu ya...
11 years ago
GPLMBWA WALIOMLA MTOTO NUSURA WAMLE BABA MTU
11 years ago
Mwananchi25 May
Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa
11 years ago
Habarileo24 May
Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa
JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Nxc2T4cQzqI/VKqTWSllgtI/AAAAAAAG7cY/SvWlcJO2QK4/s72-c/IMG-20150105-WA029.jpg)
Mbwa hawa wanauzwa
![](http://1.bp.blogspot.com/-Nxc2T4cQzqI/VKqTWSllgtI/AAAAAAAG7cY/SvWlcJO2QK4/s1600/IMG-20150105-WA029.jpg)
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Abakwa akimtembeza Mbwa