Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbwa hawa wanauzwa

Mbwa hawa wanauzwa,wapo Mbweni Teta,wapo katika uangalizi mzuri,kwa anaehitaji mawasiliano haya 0754 452351,0715 452351,0786 452351

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa

Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.

 

11 years ago

Habarileo

Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa

JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Abakwa akimtembeza Mbwa

Mmanamke mwenye umri wa miaka 40 amebakwa akiwa anamtembeza Mbwa wake katika mtaa wa Salford nchini Uingereza.

 

9 years ago

GPL

MTOTO ALIVYOLIWA NA MBWA!

Johnson James na Idd Mumba Mtoto mmoja mkazi wa Malimbe jijini Mwanza aliyefahamika kwa jina la Jovina Rwegasira, 7, (pichani) aliyekuwa akisoma kwenye Kituo cha Chekechea cha ABC Malimbe, amefariki dunia baada ya kuvamiwa na mbwa 12 kisha kung’atwa hadi kufa baada ya kunyofolewa sehemu mbalimbali za mwili wake.  Jovina Rwegasira enzi za uhai wake. Akizungumza na gazeti hili mama mzazi wa mtoto huyo, Chausiku Haruna alisema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbwa kitoweo murua China

Jamii ya Wachina husherekea sikukuu kila mwaka.Sherehe hizo huenda sambamba na ulaji wa vyakula mbalimbali vya asili ikiwemo Mbwa

 

11 years ago

Mwananchi

Kundi la Mbwa mwitu kusakwa

>Kamanda wa Polisi katika Kanda Maalumu  ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, ametoa muda wa wiki moja kwa makamanda wa Polisi wa mikoa ya kanda hiyo, kushirikiana na wananchi, ili kuwasaka na kuwatia mbaroni vijana wanaojiita ‘mbwa mwitu’ wanaotishia usalama wa watu jijini.

 

11 years ago

GPL

AUNT ACHIZIKA NA BUSU LA MBWA

Stori: Imelda Mtema
DIVA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameonekana kuchizika na busu la mbwa baada ya kunaswa akiwa amewabeba mbwa wawili na kufurahia mmoja wapo alipombusu. Diva wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel. Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Wema Sepetu, Kijitonyama, jijini Dar. Alipoulizwa furaha aliyokuwa nayo baada ya kubusiwa na mbwa huyo, Aunt alisema: “Haipimiki. Natamani na mimi… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Taliban wajigamba na Mbwa wa Marekani

Kiongozi wa Taliban, Afghanistan,ameonekana akiwa na Mbwa wa jeshi la Marekani waliomkamata mwezi Disemba na kumuweka kama mfungwa wa kivita

 

11 years ago

GPL

MBWA WA UBALOZI WAMLA MTOTO!

NI vigumu kuamini kilichotokea lakini ndivyo ilivyokuwa! Mtoto Christian Alex (6) ameuawa kikatili kwa kuliwa na mbwa wanaodaiwa kuwa ni wa Ubalozi wa Qatar nchini  Tanzania unaoongozwa na Balozi Jassim Mohammed Mubarak Daruwesh. Mtoto Christian Alex enzi za uhai wake. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Machi 26, mwaka huu Jangwani Beach, Kunduchi jijini Dar es Salaam ambapo mtoto huyo alishambuliwa na mbwa wa kigogo huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani