AUNT ACHIZIKA NA BUSU LA MBWA
![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6Yt1Ju76Jx71A2Who7j4Yk5G5BE3LlFbHX4Sa2Hx-fvt4JONwpdWTpdo40uWEZcmlzArbLvbsklIgsJs7jxVITW/r.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema DIVA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameonekana kuchizika na busu la mbwa baada ya kunaswa akiwa amewabeba mbwa wawili na kufurahia mmoja wapo alipombusu. Diva wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel. Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Wema Sepetu, Kijitonyama, jijini Dar. Alipoulizwa furaha aliyokuwa nayo baada ya kubusiwa na mbwa huyo, Aunt alisema: “Haipimiki. Natamani na mimi… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 May
Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa
JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.
11 years ago
Mwananchi25 May
Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pwNUcGVK-dUo2SW8mEnJrha5sujSoBlZ43IFTlM7z-0jDgL041ZFTXyj18eZbw41g-auSwxUVFhtG4kdZ1Spoci-yzQqpgQX/Wema.gif?width=650)
BUSU LA WEMA, MAKAMBA MH!
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Busu la Wema Lamdatisha JB
Waigizaji nguli wa sinema za Kibongo, Jacob Stephen na mwenzake Wema Sepetu ‘Madam’.
Mwandishi wetu
MKONGWE kwenye anga la sinema za Kibongo, Jacob Stephen ameeleza jinsi alivyodatishwa na busu la mwigizaji mwenzake Wema Sepetu ‘Madam’ wakati wakirekodi sinema yake mpya iitwayo Chungu cha Tatu.
JB alisema licha ya kuwa busu hilo lilikuwa katika moja ya scene ya filamu hiyo iliyoingia sokoni Jumatatu iliyopita, lakini lilimfanya akose amani kutokana na Wema alivyolipiga kwa mbwembwe na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNaliI*GLhAW8K6voDbGYWwQZm3qRUYmqhdSQthvZBLOO5KOodWAl9ddIcMKK7d16RXxafTz2ZFM2AmT0xkfwUj-/martinnawema.jpg)
BUSU LA WEMA, KADINDA UTATA!
10 years ago
BBCSwahili05 May
Busu la Kitamaduni la Wellesley,utata
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
'Busu' lamtia mashakani Obama
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Je,busu ni ishara ya kuonyesha mahaba?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*EqvtGjmCN7ap*qh7MK2xATlzcXfXzl5Bnk-EMeCEycfi*SsEezXWA*b-iL1EHDZghx-wAv889s015nJ2yvwYXP7kM0Dwual/chilo.jpg)
BUSU LA BATULI, CHILO UTATA!