Mbwezeleni: TFF iseme ukweli
Danadana zimeendelea kuhusu rufaa iliyowasilishwa kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na wakili na mwanasheria maarufu kwenye masuala ya soka nchini, Dk Damas Ndumbaro baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa, Hamidu Mbwezelani kulitaka shirikisho hilo kusema ukweli.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Nape: Nec iseme ukweli wa mashine
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye, ameendelea kuibana Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) safari hii akiitaka kujibu maswali manne kuhusu uamuzi wa kuanzisha utaratibu mpya wa uandikishaji wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voter Registration (BVR).
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Malinzi amrejesha Mbwezeleni TFF
KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imefanya uteuzi wa wajumbe kuunda kamati mbili za haki na mbili za rufani za vyombo hivyo huku ikimrejesha aliyekuwa Mwenyekiti wa...
11 years ago
Mwananchi23 Jul
TPDC iseme kwa nini makubaliano ni tofauti na mkataba elekezi?
Baada ya kuvuja kwa mkataba wa kutafuta na kuzalisha gesi asilia kati ya TPDC na kampuni ya Norway ya StatOil na baada ya baadhi ya wachambuzi kuhoji kuhusu mkataba huo, TPDC imetoa maelezo yake.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-SZo6Ey4n678/U_DFbM-Sx_I/AAAAAAAGARs/iGf960dRBCQ/s72-c/images.jpg)
TAARIFA KUTOKA TFF LEO: TFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME, MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA SIKU KUMI
![](http://4.bp.blogspot.com/-SZo6Ey4n678/U_DFbM-Sx_I/AAAAAAAGARs/iGf960dRBCQ/s1600/images.jpg)
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali. Uamuzi huo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) uliokuwepo nchini kwa wiki nzima kwa ajili ya kufanya mapitio (review) ya uendeshaji wa TFF. Akizungumza Dar es Salaam leo (Agosti 17 mwaka huu), kiongozi wa ujumbe...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania