Nape: Nec iseme ukweli wa mashine
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye, ameendelea kuibana Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) safari hii akiitaka kujibu maswali manne kuhusu uamuzi wa kuanzisha utaratibu mpya wa uandikishaji wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voter Registration (BVR).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Mbwezeleni: TFF iseme ukweli
10 years ago
Habarileo29 Mar
Nape: Ukweli utainusuru CCM isife
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kama viongozi na wanachama watashindwa kuambiana ukweli juu ya mustakabali wa chama hicho, upo uwezekano mkubwa wa chama hicho kufa.
10 years ago
Mtanzania03 Jan
Mashine za NEC ‘bomu’
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekiri kuwa mashine 250 zilizotumika katika zoezi la majaribio la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa kielektroniki (BVR) lililofanyika mwezi uliopita katika majimbo matatu nchini, hazifai.
Imesema baada ya kugundua kasoro zilizo kwenye mashine hizo, sasa inakusudia kufanya marekebisho wakati wa utengenezaji wa mashine mpya 7,750 zinazotarajiwa kuagizwa kwa ajili ya kutumika katika kazi hiyo kuanzia...
11 years ago
Habarileo11 Jul
NEC:Gharama mashine za BVR ndogo
GHARAMA za kununua mashine za kisasa zitakazotumika katika kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Biometric Voters Registration (BVR) ni ndogo, ukilinganisha na bei aliyoitoa mzabuni wa kwanza kabla ya zabuni hiyo kufutwa na Mamalaka ya Rufaa za Manunuzi ya Umma (PPAA).
9 years ago
Habarileo15 Sep
Nape akumbushia yaliyotokea NEC
KATIBU wa CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nauye, ameanika sababu za Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutomteua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa, kuwa mgombea wake urais katika uchaguzi wa mwaka huu, kuwa ni pamoja na kuwa na historia ya kutumia vibaya madaraka yake katika kila ofisi anayopewa.
10 years ago
TheCitizen12 Feb
Nape warns NEC on voter kits
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Mashine ya BVR sasa haina tatizo hata kwa wenye vidole vyenye sugu — NEC
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Mh. Deo Filikunjombe (kushoto) akiweka sahihi katika mashine ya kielektroniki za Biometric Voters Registration (BVR),wakati akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura juzi katika kituo cha shule ya msingi Ludewa mjini, wa pili kulia anayeshuhudia ni kamishina wa tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC), Prof. Amone Chaligha.
Na MatukiodaimaBlog, Ludewa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema mchakato wa uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura ...
10 years ago
Michuzi16 Jan
11 years ago
Mwananchi23 Jul
TPDC iseme kwa nini makubaliano ni tofauti na mkataba elekezi?