Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchekeshaji nguli Robin Williams afariki

Salamu za rambi rambi zimeendelea kumiminika kufuatia kifo cha nguli wa uigizaji na vichekesho nchini Marekani Robin Williams

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Muigizaji nguli Robin Williams aaga dunia

Polisi wanaamini kwamba Robin amejiua akiwa nyumbani kwake mjini Carlifonia.

 

11 years ago

Michuzi

BURIANI ROBIN WILLIAMS


Mcheza sinema na mchekeshaji maarufu duniani aliyepata kushinda tuzo ya Oscar Robin Williams amefariki dunia katika kifo kinachoshukiwa ni cha kujiua mwwenyewe. Alikuwa na umri wa miaka 63.

 

Kwa mujibu wa polisi wa Marin huko Calofornia, Marehemu Williams alikutwa hana fahamu huku akiwa hapumui majira ya saa sita za mchana Jumatatu nyumbani kwake Tiburon, kufuatia simu ya dharura iliyopigwa polisi hapo. Alitangazwa amefariki dunia saa sita na dakika mbili baada ya wahudumu wa huduma za...

 

11 years ago

GPL

MUIGIZAJI ROBIN WILLIAMS WA MAREKANI AJIUA

Muigizaji na mchekeshaji maaarufu wa Marekani, Robin Williams enzi za uhai wake. Robin Williams akiwa na mke wake wa tatu, Susan Schneider.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Officials reveal details about Robin Williams’s death

Untitled

Robin Williams hanged himself with a belt after his wife had gone to sleep Sunday night.

Those are among the graphic new details to emerge about the death of the 63-year-old entertainer at a press conference Tuesday. 

Speaking from prepared notes, Marin Sheriff’s Lt. Keith Boyd said that Williams’s wife, Susan Schneider, went to bed at 10:30 p.m. on Sunday. Williams later retired in a different bedroom of their home in Tiburon, California, a small town in the San Francisco Bay area.

In the...

 

11 years ago

Bongo5

Muigizaji wa ‘Mrs Doubtfire’ Robin Williams wa Marekani akutwa amekufa nyumbani kwake

Muigizaji na mchekeshaji maaarufu wa Marekani Robin Williams amekutwa amekufa nyumbani kwake California, Marekani Jumatatu (Agosti 11) huku ripoti ya polisi ikionesha kuwa huenda amejiua (asphyxia). Imeelezwa kuwa kwa siku za hivi karibuni Williams ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 63 alikuwa akipambana na sonona (depression). “This morning, I lost my husband and my […]

 

5 years ago

Michuzi

MCHEKESHAJI AFARIKI KWA CORONA JAPAN

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MCHEKESHAJI maarufu na mkongwe kutoka Japan Ken Shimura (70) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mjini Tokyo baada ya kupata maambukizi ya Corona baada ya kupata maambukizi ya virusi vya Corona (covid 19) Shirika la Utangazaji CNN na watu wake wa karibu wamethibitisha.
imeelezwa kuwa Shimura aliumwa homa ya mapafu kufariki dunia jumapili usiku, huku ikielezwa kuwa alianza kusikia dalili ikiwemo uchovu Machi 17 na alilazwa Machi 20 kabla ya kugundulika...

 

10 years ago

Michuzi

news alert: Mchekeshaji wa Kenya Mzee Ojwanga afariki dunia


Mwigizaji wa filamu za vichekesho wa Kenya Benson Wanjau maarufu kama Mzee Ojwang (pichani) amefariki dunia Jumapili jioni katika hospitali ya Taifa ya  Kenyatta National alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Taarifa kutoka NAirobi zinasema alikuwa anaumwa "Nimonia" (Pneumonia). Marehemu Mzee Ojwang alijipatia umaarufu mkubwa Afrika Mashariki kwa vituko vyake kwenye filamu za Vitimbi, Vioja Mahakami, Vituko na  Kinyonga. Alikuwa haonekani kwa muda mrefu kwenye televisheni za Kenya na mashabiki...

 

10 years ago

Habarileo

Nguli wa utangazaji Beni Kiko afariki dunia

ALIYEKUWA mwandishi wa habari na mtangazaji wa Redio Tanzania (RTD) sasa TBC, Ben Kikoromo (72) maarufu kama Beni Kiko, amefariki dunia juzi usiku katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya ugonjwa wa figo.

 

5 years ago

CCM Blog

MPIGA KINANDA NGULI WA TOT JUMA JERRY AFARIKI DUNIA

Dar es Salaam
Aliyekuwa mpiga kinanda nguli wa Kikundi cha CCM cha Tanzania One Theatre (TOT) au TOT Plus Juma Jerry au Mzee wa Mbezi ( dunia (Pichani) amefariki 

Akithibitisha kifo hicho Mkurugenzi wa TOT Gasper Tumaini amesema Jerry amefariki dunia leo katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam, alikokuwa akitibiwa.

Tumaini amesema Jerry alilazwa Lugalo tangu jana akipatiwa matibabu ya presha aliyokuwa akiugua kwa mda mrefu.

Jerry pia alikuwa Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Wanamuziki wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani