MCHEKESHAJI AFARIKI KWA CORONA JAPAN
![](https://1.bp.blogspot.com/-wSmhU1AjyH0/XoHc40ccAqI/AAAAAAALlg4/h39SsBCTzMME1c3Hk1juQRFO7Yh-IufVACLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MCHEKESHAJI maarufu na mkongwe kutoka Japan Ken Shimura (70) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mjini Tokyo baada ya kupata maambukizi ya Corona baada ya kupata maambukizi ya virusi vya Corona (covid 19) Shirika la Utangazaji CNN na watu wake wa karibu wamethibitisha.
imeelezwa kuwa Shimura aliumwa homa ya mapafu kufariki dunia jumapili usiku, huku ikielezwa kuwa alianza kusikia dalili ikiwemo uchovu Machi 17 na alilazwa Machi 20 kabla ya kugundulika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Mchekeshaji nguli Robin Williams afariki
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-LSoyPgWn7v4/VaLpKjHcW2I/AAAAAAAHpO4/-e55uvFz3tc/s72-c/unnamed%2B%252814%2529.jpg)
news alert: Mchekeshaji wa Kenya Mzee Ojwanga afariki dunia
![](http://4.bp.blogspot.com/-LSoyPgWn7v4/VaLpKjHcW2I/AAAAAAAHpO4/-e55uvFz3tc/s640/unnamed%2B%252814%2529.jpg)
Mwigizaji wa filamu za vichekesho wa Kenya Benson Wanjau maarufu kama Mzee Ojwang (pichani) amefariki dunia Jumapili jioni katika hospitali ya Taifa ya Kenyatta National alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Taarifa kutoka NAirobi zinasema alikuwa anaumwa "Nimonia" (Pneumonia). Marehemu Mzee Ojwang alijipatia umaarufu mkubwa Afrika Mashariki kwa vituko vyake kwenye filamu za Vitimbi, Vioja Mahakami, Vituko na Kinyonga. Alikuwa haonekani kwa muda mrefu kwenye televisheni za Kenya na mashabiki...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-xxTNuYY66Ao/Xp06Ebaxs6I/AAAAAAAAyOw/Tng47Ho8mDI6EMnOW3tbWv0X0vipMimFQCLcBGAsYHQ/s72-c/uhoubsn7b7fcxu5ca5c46b75298.jpg)
MCHEKESHAJI PIERRE LIQUID AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-xxTNuYY66Ao/Xp06Ebaxs6I/AAAAAAAAyOw/Tng47Ho8mDI6EMnOW3tbWv0X0vipMimFQCLcBGAsYHQ/s400/uhoubsn7b7fcxu5ca5c46b75298.jpg)
Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti la Mwanaspoti Pierre amesema kwa sasa yupo hospitali ya Amana akiwa anaendelea kupatiwa matibabu.
Akieleza namna alivyogundulika kuwa ana corona,amesema hii ni baada ya kwenda kupima wiki iliyopita hospitali ya Temeke. "Nina bosi wangu wa karibu ambaye kapata ugonjwa huu na kwa kuwa mara nyingi tuko naye alinishauri na mimi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fF5Jl8zq440/XoSBuWw3fOI/AAAAAAALlyA/7X6jzpcKqi8kGzFO0ruUuQBlm86SK77ZQCLcBGAsYHQ/s72-c/52395243_303.jpg)
MTOTO WA MIAKA 13 AFARIKI KWA CORONA UINGEREZA
MTOTO wa miaka 13 amefariki dunia nchini Uingereza mara baada ya kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona (Covid-19) hospitali King's College ya Mjini London na ndugu wa mtoto huyo wamevieleza vyombo vya habari.
Mtoto huyo raia wa Uingereza alifariki dunia siku ya Jumatatu ameelezwa kuwa ni muingereza mdogo zaidi kufariki kwa virusi hivyo.
Familia ya mtoto huyo imevieleza vyombo vya habari kuwa mtoto huyo (Ismail Mohamed Abdulwahab) alianza kuonesha...
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Virusi vya Corona: Mama yake meneja wa Manchester City Pep Gardiola afariki kutokana na corona
5 years ago
BBCSwahili25 Mar
Kasisi afariki na maambukizi ya corona
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-ETn0TCbNY_k/XoSNa2RPkKI/AAAAAAAC2Og/VHkY0DCs5sQ4GiYe_7MP_dmchEW41ehuQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
5 years ago
BBCSwahili18 Jun
Luciana Campagnoli: Afariki kutokana na saratani baada ya kupona corona
5 years ago
BBCSwahili14 May
Virusi vya corona: Afisa aliyetemewa mate na mtu mwenye Covid-19 afariki