Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchezaji wa kigeni kulipa Tanzania

Kila mchezaji wa kigeni kulipa dola 2,000 ( wastani wa milioni 5) kwa kila msimu atakaocheza ligi kuu ya Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Elias Maguli Mchezaji wa timu ya Stand United, amekabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi Milioni 1/= na wadhamni wakuu wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(Vodacom Tanzania) kwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa Ligi hiyo.
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude(kushoto)akimkabidhi Mchezaji...

 

5 years ago

Michuzi

WALIOKWEPA KULIPA KODI WAHUKUMIWA KULIPA BILIONI 1.5 BAADA YA KUKILI KOSA


Na Karama Kenyunko Michuzi TV,  
ALIYEKUWA Rais wa Kampuni ya Acacia, Deodatus Mwanyika na wenzake wamehukumiwa kulipa fidia ya Sh bilioni 1.5 baada ya kukiri mashitaka ya kukwepa kulipa kodi.
Pia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kulipa faini ya Sh milioni 1.5 1 ama kutumikia kifungo cha miezi minne gerezani iwapo watashindwa kulipa faini hiyo.

Mbali na Mwanyika washitakiwa wengine ni Meneja Uhusiano wa Mgodi wa Bulyanhulu, Alex Lugendo,  Mkurugenzi mtendaji wa mgodi wa Pongea, North...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wenger athibitisha kusajili mchezaji ndani ya siku 10 zijazo, jina la mchezaji anayesajiliwa lipo hapa

Arsene 22

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Vinara wa msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza, Arsenal wanatarajia kufanya usajili mpya katika kikosi chao ndani ya siku 10, kocha Arsene Wenger (pichani) kathibitisha.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Newcastle ambao Arsenal iliibuka na ushindi wa goli 1 kwa bila, Wenger alisema anategemea kusajili mchezaji mpya ndani ya siku 10 zinazokuja.

“Ninatumai ndani ya siku 10 zijazo tunaweza kufanya jambo,” Wenger aliwaambia waandishi...

 

10 years ago

Vijimambo

UTITILI WA WACHEZAJI WA KIGENI KUTAICHIMBIA KABURI SOKA YA TANZANIA NA KUUWA TIMU YA TAIFA KAMA ILIVYO UINGEREZA


Simon Sserunkuma By GIFT MACHA Wa Mwanaspoti.Mshambuliaji huyo raia wa Uganda alikuja nchini na timu ya Express ya nchini humo na kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Simba na Yanga na ndipo viongozi hao wa Yanga walipomwona na kumleta nchini ili kufanya naye mazungumzo lakini mambo yakawa tofauti kwani alitoroshwa kimya kimya na kupelekwa Zanzibar ambako Simba iliweka kambi kujiandaa na mechi ya Nani Mtani Jembe iliyochezwa juzi Jumamosi.ACHANA na Yanga kufungwa mabao 2-0 na Simba...

 

9 years ago

BBCSwahili

Waliokwepa kulipa kodi bandarini Tanzania wagunduliwa

Kampuni 43 ambazo zinamiliki makontena 329 yaliyokamatwa bandarini Tanzania wakati wa ziara ya kushtukiza ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa zimetambuliwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tanzania: Mbowe na wenzake waliopatikana na hatia kulipa 'faini au jela'

Mahakama kuu nchini Tanzania imewakuta na hatia viongozi tisa wa chama cha upinzani -CHADEMA ambao wametakiwa kulipa shilingi milioni 350 za Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom yamzawadia Mchezaji Bora wa ligi kuu Tanzania bara wa mwezi Novemba

Naibu Waziri wa maji Amos Makala wapili toka kulia akimkabidhi mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara mwezi Novemba Rashid Mandawa wa Kagera Sugar(wapili toka kushoto) hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 1/=na kombe kabla ya mechi kuanza kati ya Simba na Kagera Sugar ambapo simba ililala kwa bao 1-0. Wengine kulia ni Makamu Mwenyekiti wa bodi ya ligi Said Mohamed. Kushoto Ofisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
Wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...

 

5 years ago

Michuzi

Sadallah Lipangile awa mchezaji bora wa mwezi Februari Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania

Mkuu wa Mauzo wa kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania PLC, George Venant (kushoto) akimkabidhi Mchezaji wa timu ya KMC Sadallah Lipangile mfano wa Hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni 1/= baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara wakati wa mchezo wa ligi kati ya KMC na Simba uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi, Simba ilishinda mabao 2-0. Katikati ni kiongozi msimamizi wa Vodacom (team leader), Felician Benedict.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani