Mchezaji wa kriketi Philip Hughes afariki
Mchezaji huyo amefariki siku chache baada ya kupata majeraha alipogongwa kichwani na mpira siku ya Jumanne mjini Syney.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 Nov
Philip Hughes afariki,Pele ana nafuu
Bendera zinapepea nusu mlingoti kuomboleza kifo cha Philip Hughes aliyefariki jana,naye Abeid Pele anaendelea vyema.
11 years ago
BBCSwahili03 Feb
Muigizaji Philip Seymour Hoffman afariki
Muigizaji mahiri wa Hollywood na mshindi kwa tuzo ya Oscar- Philip Seymour Hoffman, amefariki kutokana na matumizi ya dawa za kulevya
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Mchezaji wa raga afariki Australia
Mchezaji wa raga nchini Australia,aliyepata majeraha katika mchuano wa kombe la Queensland nchini humo, amefariki hospitalini.
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
Mchezaji Gabon afariki uwanjani
Mchezaji wa klabu ya Ac Bongoville,Sylvain Azougoui amekufa baada ya kupigwa teke kwa kichwa wakati wa mechi ya ligi kuu nchini Gabon.
11 years ago
BBCSwahili05 May
Baltacha: Mchezaji wa Uingereza afariki
Mchezaji wa zamani wa tennis nambari moja wa Uingereza Elena Baltacha amefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani ya ini.
11 years ago
BBCSwahili24 Aug
Mchezaji afariki baada ya kupigwa
Mchezaji wa soka raia wa Cameroon amefariki baada ya kupigwa katika kichwa nchini Algeria.
11 years ago
BBCSwahili20 Oct
Mchezaji afariki akisherehekea bao
Mchezaji wa soka nchini India, Peter Biaksangzuala amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuiga pindu akisherehekea bao
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Mchezaji mkongwe Mario Coluna afariki
Aliyekuwa nahodha wa timu ya soka ya Benfica kutoka Msumbiji Mario Coluna amefariki Msumbuji
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Mchezaji afariki baada ya kupigwa kichwa
Mchezaji wa Argentina Franco Nieto ,amefariki baada ya kupigwa kwenye kichwa wakati wa mechi siku ya jumamosi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania