Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchezaji wa QPR asema hana uzani mkubwa

Mchezaji wa QPR Adel Taarabt amemjibu kocha wake Harry Redknapp

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Niyonzima asema hana furaha

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima amesema hana furaha kuwa nje ya Yanga na kuwataka mashabiki kuwa wavumilivu kwani suala lake linatarajiwa kupatiwa ufumbuzi hivi karibuni baada ya kuwasilisha maelezo yake kwa uongozi.

 

9 years ago

Habarileo

Waziri Mkuu asema hana kinyongo

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema hana kinyongo na mtu yeyote kwa sababu alitangaza msamaha siku aliyokabidhiwa cheti kuwa Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na kusisitiza kuwa siasa ziliisha tangu Oktoba 25, mwaka huu.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mndolwa asema hana mpango na ubunge


NA MOHAMMED ISSA
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Korogwe Vijijini, Dk. Edmund Mndolwa, amesema hafanyi ziara kwa lengo la kutaka ubunge katika jimbo la Korogwe Vijijini.
Amesema anafanya kazi kama mjumbe wa NEC, kutoka wilaya hiyo na kwamba  lengo la ziara zake ni kukijenga Chama.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini  Dar es Salaam, jana, Dk. Mndolwa alisema hajawahi kufanya kampeni yoyote katika ziara zake hizo na kwamba lengo la ziara zake...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha asema Adebayor hana nidhamu

Mkufunzi mpya wa timu ya Togo Tom Saintfiet amemshtumu nahodha wa timu hiyo Emmanuel Adebayor kwa ukosefu wa nidhamu baada ya mshambuliaji huyo wa Tottenham kushindwa kujiunga na kikosi hicho

 

10 years ago

BBCSwahili

Gerrard asema Balotelli hana 'heshima'

Steven Gerrard amemshtumu mshambuliaji wa timu hiyo Mario Balotelli kwa kutokuwa na heshima baada ya kuchukua mkwaju wa penalti

 

11 years ago

BBCSwahili

Riek Machar asema hana uchu wa madaraka

Makamu wa Rais wa zamani Sudna Kusini, Riek Macahr anayezozana na Rais Salva Kiir asema hapihanii mamlaka

 

10 years ago

Habarileo

Sendeka asema hana mpango kuhama CCM

MBUNGE wa Simanjiro Christopher ole Sendeka amekanusha habari zilizosambaa mitandaoni kuwa anahamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kusema kuwa habari hizo hazina tija na ni upotoshaji wa jamii na kuwa yeye atabakia kuwa muumini wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hajaona chama mbadala.

 

9 years ago

Habarileo

Kitwanga asema hana orodha ya wauza mihadarati

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga amesema hana orodha ya majina ya watu wanaouza dawa za kulevya na hana muda wa kushughulika na hiyo inayoitwa orodha. Badala yake, amesema chini ya uongozi wake ataweka mifumo itakayosaidia kudhibiti uingizaji wa dawa hizo nchini. Akizungumza jana na waandishi wa habari Dar es Salaam baada ya kufanya kikao na maofisa wa ngazi ya juu wa Polisi, Kitwanga alisema wamekubaliana kuhakikisha dawa za kuleya zilizoko nchini zinakamatwa na kuteketezwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mourinho asema hana wasiwasi kuhusu kazi yake

Mourinho amesisitiza kwamba hana wasiwasi kuhusu kazi yake kama meneja wa Chelsea huku klabu yake ikijiandaa kukabili LIverpool.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani