Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mourinho asema hana wasiwasi kuhusu kazi yake

Mourinho amesisitiza kwamba hana wasiwasi kuhusu kazi yake kama meneja wa Chelsea huku klabu yake ikijiandaa kukabili LIverpool.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Wizkid aizungumzia beef yake na Davido, asema hana beef na mtu (video)

Hivi karibuni Davido alihojiwa na kituo cha Sahara TV (Iko hapa) na kusema kuwa hana beef na Wizkid, lakini baada ya hapo waliendelea kurushiana vijembe kupitia mitandao ya kijamii. Hatimaye Wizkid naye amefanya mahojiano na mtangazaji aitwaye Olisa Adibua kupitia kipindi chake cha TV ambaye alimuuliza kuhusu beef hiyo. Kuhusu beef anzia dakika 9:20 “That […]

 

9 years ago

Bongo5

Natamani kuona Hisia akiimba kuhusu mazingira, maji, elimu – asema mama yake (Anna Mgwira)

Hisia TPF_full

Mama mzazi wa muimbaji Hisia, Anna Mgwira amesema kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa kazi za mwanaye lakini wanatofautiana tu kwenye maudhui ya nyimbo zake.

Hisia TPF_full

Mama Hisia ambaye pia alikuwa mgombea urais kwenye uchaguzi uliopita kupitia ACT, amesema kuwa yeye sio shabiki wa nyimbo za mapenzi ambazo hata mwanaye ndio anazopenda zaidi kuimba.

“Kwanza hapo tunatofautiana mi na yeye kwamba anapenda kuimbaimba nyimbo za mapenzi sana mimi sionagi kitu kipya kwenye hayo mambo.” Alisema Mama Hisia...

 

9 years ago

MillardAyo

Kutana na video ya dakika 1 ya mkusanyiko wa matukio ya Mourinho ambayo hana furaha Chelsea …

December 16 stori zilizopo kwenye mitandao mingi ya soka barani Ulaya ni kuhusu uamuzi wa uongozi wa klabu ya Chelsea kuhitisha mkutano wa dharura na kujadili mwenendo wa timu yao sambamba na kumjadili kocha Jose Mourinho. Nimekutana na video hii kutoka BBC ambayo wamekusanya matukio kadhaa ya Jose Mourinho akiwa hana furaha ndani ya Chelsea […]

The post Kutana na video ya dakika 1 ya mkusanyiko wa matukio ya Mourinho ambayo hana furaha Chelsea … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Habarileo

Niyonzima asema hana furaha

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima amesema hana furaha kuwa nje ya Yanga na kuwataka mashabiki kuwa wavumilivu kwani suala lake linatarajiwa kupatiwa ufumbuzi hivi karibuni baada ya kuwasilisha maelezo yake kwa uongozi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Gerrard asema Balotelli hana 'heshima'

Steven Gerrard amemshtumu mshambuliaji wa timu hiyo Mario Balotelli kwa kutokuwa na heshima baada ya kuchukua mkwaju wa penalti

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mndolwa asema hana mpango na ubunge


NA MOHAMMED ISSA
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Korogwe Vijijini, Dk. Edmund Mndolwa, amesema hafanyi ziara kwa lengo la kutaka ubunge katika jimbo la Korogwe Vijijini.
Amesema anafanya kazi kama mjumbe wa NEC, kutoka wilaya hiyo na kwamba  lengo la ziara zake ni kukijenga Chama.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini  Dar es Salaam, jana, Dk. Mndolwa alisema hajawahi kufanya kampeni yoyote katika ziara zake hizo na kwamba lengo la ziara zake...

 

9 years ago

Habarileo

Waziri Mkuu asema hana kinyongo

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema hana kinyongo na mtu yeyote kwa sababu alitangaza msamaha siku aliyokabidhiwa cheti kuwa Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na kusisitiza kuwa siasa ziliisha tangu Oktoba 25, mwaka huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha asema Adebayor hana nidhamu

Mkufunzi mpya wa timu ya Togo Tom Saintfiet amemshtumu nahodha wa timu hiyo Emmanuel Adebayor kwa ukosefu wa nidhamu baada ya mshambuliaji huyo wa Tottenham kushindwa kujiunga na kikosi hicho

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani