Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchinjaji wa IS atambuliwa

Mkurugenzi mkuu wa FBI James Comey amesema kitengo chake kimemtambua mchinjaji wa wanamgambo wa dola ya kiislam IS.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mchinjaji wa IS 'Jihadi John' atambuliwa

Mwanaume ambaye amekuwa akitekeleza mauaji ya mateka wa kundi la wapiganaji wa Islamic State ajulikanaye kwa jina la utani "Jihadi John",ametambuliwa.

 

10 years ago

GPL

SI KILA MCHINJAJI LAZIMA ALE SHINGO

Jamani mbona makubwa madogo yana nafuu eti inahuu, nani kakuambia aihuu? mtakalia vimaneno vya kijinga wakati nyumba inateketea. Sipendi jamani mbona hivyo! Nani kawaroga hadi mnajitoa akili wakati mnazo. Leo nimekuja mahsusi kwa ajili ya kukuteteeni wanawake wenzangu. Lakiniii ninachowatetea kwenu kimekaa vipi? Nimepata maswali mengi juu ya matatizo ndani ya uhusiano, bwana mmoja analalamika kutoswa na mpenzi wake ambaye...

 

10 years ago

GPL

MCHINJAJI MAARUFU DUNIANI ALIVYOKAMATWA DAR

NA MWANDISHI WETU
JINA Jihadi John ‘Mohammed Emwazi’  (26) ni maarufu kwa sasa baada ya kijana huyo kubainika kwamba ndiye muuaji mwenye kiu isiyokatika kutoka Kundi la Islamic State ‘IS’ ambalo linaendesha vita dhidi ya Dola za Kiislam. Jihadi John ‘Mohammed Emwazi’  (26). Kwa wale wasiomfahamu sawasawa muuaji huyo, anaonekana mara kwa mara katika runinga akiwachinja bila huruma...

 

10 years ago

BBCSwahili

M'barikiwa Irene Stefani atambuliwa Kenya

Maelfu ya Wakatoliki wanahudhuria sherehe mjini Nyeri, Kenya, ya kum'bariki mtawa wa kale kutoka Italia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Muhusika wa tatu wa mashambulizi ya Paris atambuliwa

Ufaransa imesema kuwa muhusika wa tatu wa mashambulizi ya Bataclan ametambuliwa kuwa ni raia wa Ufaransa aliepata mafunzo ya itikadi kali nchini Syria

 

10 years ago

Michuzi

DAKTARI BINGWA WA UPASUAJI WA KITANZANIA ATAMBULIWA NA JARIDA KUBWA LA FANI HIYO DUNIANI

Dkt. Amosy Ephreim M'Koma, Mtanzania, Bingwa katika fani ya Upasuaji (Colon and Rectal Surgery). ametambuliwa na Jarida kubwa la watalaam mabingwa wa upasuaji duniani la "World Journal of Surgical Procedures" kutokana na  shughuli zake za utafiti (Surgical Sciences) katika Chuo Kikuu cha Vanderbilt University huko North Nashville, Tenesee. Dkt. M'Koma amekuwa taarifa kuu katik toleo la sasa la Jarida hilo (BOFYA HAPA) lenye bodi ya wahariri 275 ambao wote ni mabingwa wa upasuaji toka sehemu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani