Mchunguzi wa Takukuru aeleza Badwel alivyorekodiwa bila kujua
Shahidi wa sita katika kesi ya Mbunge wa Bahi mkoani Dodoma, Omary Badwel, Emmanuel Koroso ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa ndiye aliyefanikisha mpango wa kumrekodi mshtakiwa huyo kuhusiana na tuhuma zinazomkabili bila yeye kutambua.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Shahidi aeleza Sheikh Ponda alivyorekodiwa kwa siri
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fjM0Q_bMgVU/Xk_luU7dvrI/AAAAAAALesk/kPf7NRUgiDsGNE-P9MoUhP2jd3iHZ4DWQCLcBGAsYHQ/s72-c/TAKU.jpg)
MCHUNGUZI MKUU TAKUKURU AOMBA SULUHU MAHAKAMANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-fjM0Q_bMgVU/Xk_luU7dvrI/AAAAAAALesk/kPf7NRUgiDsGNE-P9MoUhP2jd3iHZ4DWQCLcBGAsYHQ/s640/TAKU.jpg)
MCHUNGUZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Cosmas Batanyika (44) ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kukumkutanisha na kamati inayoshughulika na suala na kukiri na kuomba msamaha kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Mshtakiwa Batanyika ambaye anakabiliwa na makosa ya kushawishi rushwa ya zaidi...
10 years ago
Habarileo30 Apr
Mbunge Badwel huru,Takukuru washindwa kuthibitisha mashitaka
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru mbunge wa Bahi (CCM), Omary Badwel aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni moja.
10 years ago
BBCSwahili21 Jul
Ashinda Scrabble bila kujua lugha
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Tuna maiti ya muungano bila kujua
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi Ijumaa mjini Dodoma, walishuhudia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikishinikiza matakwa yake katika utungaji wa Katiba Mpya. Walimwona Rais Jakaya Kikwete ambaye ni Mwenyekiti...
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Wakaazi wanaolala bila kujua Kazakhstan
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JnNsxgX9lA2y*TAnqNuOvVY1Xic1ZvOJrAl-rtUCBDvATqpv2*8HJqsOnV723FKZ045HwQaG-PmLyiT4qnO*j3GSdpFhAEuA/url.jpg)
VIDONDA VYA TUMBO VINAVYOWATESA WENGI BILA KUJUA!
9 years ago
Habarileo03 Nov
‘Kikwete alimnoa Magufuli kuwa Rais bila kujua’
RAIS mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli ametajwa kuwa mbegu bora ya uongozi iliyopandwa na Rais Jakaya Kikwete ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), bila viongozi hao wawili kujua.
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Wakazi wakiri kula kinyesi bila kujua wilayani Karagwe