Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCL yafuturisha mawakala wake

Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa mara ya kwanza imewafuturisha mawakala wanaouza magazeti yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

PPF YAFUTURISHA WAFANYAKAZI WAKE

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akitoa hotuba kwa wafanyakazi wa Mfuko huo baada ya futari iliyoandaliwa na Ofisi yake kwa wafanyakazi wake kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam  Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio(Wapili kushoto) na baadhi ya wajumbe wa bodi ya wadhamini ya Mfuko huo, wakishiriki futari iliyoandaliwa na ofisi yake kwa wafanyakazi wa PPF kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa...

 

11 years ago

GPL

PPF YAFUTURISHA WAFANYAKAZI WAKE‏

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akipakua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na ofisi yake katika hoteli ya serena jana. Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichukua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na Mfuko huo wa Pensheni wa PPF jana.…

 

11 years ago

Michuzi

BancABC YAFUTURISHA WADAU WAKE JIJINI DAR

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum(kulia) akizungumza na wageni waalikwa wakati futari iliyoandaliwa na BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jana. Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa wakimsikiliza mgeni rasmi, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum(hayupo pichani) wakati wa futari iliyoandaliwa na BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo iliyofanyika...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YAFUTURISHA WASTAAFU WAKE MKOA WA TANGA

Principle Operation Officer wa NSSF, Joyce Mruma akigawa zawadi kwa wastaafu wa NSSF wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na shirika hilo. Ofisa Mwandamizi wa Operesheni wa NSSF, Lydia Ignace akitoa zawadi kwa wastaafu wa Shirika hilo waliohudhuria hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na NSSF kwa ajili ya wastaafu wa Mkoa wa Tanga.Principle Operation Officer wa NSSF, Joyce Mruma akitoa zawadi kwa mstaafu wa NSSF, Bella Antao wakati wa hafla ya kufuturisha wastaafu wa Shirika ...

 

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA CBA TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE DAR

 Baadhi ya wateja wa Benki ya CBA Tanzania wakipakua chakula cha futari iliyoandaliwa kwa ajili yao kwenye hoteli ya serena mwishoni mwa wiki
 Wateja wa Benki ya CBA Tanzania wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili yao kwenye Hoteli ya Serena Mwishoni mwa wiki .

 Mkurugenzi wa Benki ya CBA Tanzania Julius Mcharo akiongea na wateja na wafanyakazi wa benki hiyo waliohudhuria futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwenye hoteli ya Serena mwisoni mwa wiki


.MkurugenzI na Maofisa...

 

11 years ago

Michuzi

AZANIA BANK LTD TAWI LA MOSHI YAFUTURISHA WATEJA WAKE

Baaadhi ya waalikwa wakipata futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania tawi la Moshi.Mkuu wa wilaya ya Moshi  Mhe Ibrahim Msengi (katikati)akiwa na Shekhe  mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro  Alhaj Shaban Rashid(kulia)Baadhi ya waalikwa wakipata futari iliyoandaliwa na benki ya Azania Tawi la Moshi.Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi Bi. Hajira Mmambe(shoto)akiteta jambo na mfanyabiasha  Ibrahimu Shayo maarufu kama Ibra line(mwenye kanzu) ,katikati ni mfanyakazi wa taasisi moja ya fedha mjini Moshi.

 

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA NBC YAFUTURISHA WATEJA WAKE MJINI ZANZIBAR

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi na kanuni za Kiislamu cha Benki ya NBC, Yassir Masoud (kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi cha benki hiyo, Mussa Jallow na Ofisa Fedha Mkuu wa NBC, Jaffari Matundu (kushoto) wakishiriki kuchukua mlo wa futari pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo mjini Zanzibar katika hafla ya futari iliyoandaliwa na NBC kwa wateja wake mjini humo juzi.Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Mussa Jallow (kushoto), akisalimiana...

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAFUTURISHA WADAU WAKE JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akimuongoza Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum na wadau wa mfuko huo kupakua futari iliyoandaliwa na PPF Kanda ya Temeke kwa wadau wake, Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akizungumza na wadau wa mfuko huo baada ya kupata futari iliyoandaliwa na PPF Kanda ya Temeke, Dar es Salaam juzi. Wengine kutoka kulia kwake) ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, Mwakilishi wa...

 

11 years ago

Michuzi

benki ya NBC yafuturisha wateja wake jijini Dar

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akipokewa na Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC Tanzania, William Kallaghe na Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dk. Mussa Assad (kulia) alipoalikwa kama mgeni rasmi katika hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal (wa pili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NBC Tanzania, Dk. Mussa Assad (wa pili kushoto) wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani