Mdau Aron Sondi aunguliwa na nyumba kigamboni, Dar es salaam. Anaomba msaada wa hali na mali asitirike
![](http://4.bp.blogspot.com/-Kw5J-iI_eBE/VEdb9emM7bI/AAAAAAAGslw/b_MA8f6-pGM/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Mdau Aron Sondi anayeishi Kigamboni jijini Dar es Salaam, ameunguliwa na nyumba na kupoteza mali na vitu vyote jana jioni. Familia inaomba michango ya hali na mali ili kumsitiri mweneztu huyu. Michango iwasilishwe kupitia namba ya Aron Sondi:0763210530 au kupitia Tigo pesa ya mke wake Sara Obel: 0713560844.Asante sana na mbarikiwe. Hizi ni taswira mbalimbali za tukio la ajali hiyo ambapo moto unaosadikiwa kutokea jikoni umetekeza nyumba yote na mali za familia hiyo.
Sehemu ya nyuma ya nyumba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Oct
Anahitaji msaada wako: Aron Sondi aunguliwa na nyumba Kigamboni
BWANA Aron Sondi anayeishi Kigamboni jijini Dar es Salaam, ameunguliwa na nyumba na kupoteza mali na vitu vyote jana jioni.
Tunaomba michango ya hali na mali iwasilishwe kupitia namba ya Aron Sondi: 0763210530 au kupitia Tigo pesa ya mke wake Sara Obel: 0713560844.
Asante sana na mbarikiwe. Zifuatazo ni picha mbalimbali za tukio la ajali hiyo ambapo moto unaosadikiwa kutokea jikoni umetekeza nyumba yote na mali za familia hiyo.
Sehemu ya nyuma ya nyumba wakati moto ukiwa umetanda...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Aax03I0kAOY/VZT_e8x6zQI/AAAAAAAC8F8/jCqsa47q8Gw/s72-c/New%2BPicture.png)
OMBI LA MSAADA WA HALI NA MALI ; KIJANA ABEL MACHANGA ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU
![](http://2.bp.blogspot.com/-Aax03I0kAOY/VZT_e8x6zQI/AAAAAAAC8F8/jCqsa47q8Gw/s640/New%2BPicture.png)
Familia inaomba msaada wa wasamaria wema ili kugharamia matibabu ya Abel kutokana kuwa gharama za matibabu ni kubwa kuliko uwezo wa familia.
Kwa yeyote atakayetakayeguswa na taarifa hii, anakaribishwa kumtembelea Abel Hospitalini ili kukutana naye na kusikia kilio chake Kwa mlio mbali,...
11 years ago
MichuziWAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKUTANA NA WADAU WA MJI MPYA WA KIGAMBONI DAR ES SALAAM
10 years ago
Bongo Movies25 Jun
Wema Sepetu Anahita Msaada Wako wa Hali na Mali
Uongozi ni utumishi. Naamini kama kijana nina uwezo wa kutumikia vijana wenzangu, mama zangu na nchi yangu kwa ujumla. Hili jukumu langu na letu sote.
Nimeamua kwa dhati kuwatumikia wananchi wa Singida na nchi yangu kwa ujumla endapo nitachaguliwa na chama changu.
Ili nifanikiwe katika hili nahitaji mchango wenu wa mawazo, hali na mali. Najua kila mmoja ana mchango wake katika kulifanikisha hili.
Naomba nitumie nafasi hii kuwaombeni wote michango yenu bila kujali itikadi, jinsia, umri au...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5AuHtiA7fWw/U9i42hEgSsI/AAAAAAAF70M/HdDdC9TBuWQ/s72-c/f717f5726255feeb5f1513028ae137c4.jpg)
MDAU WA MBEYA ANAOMBA KURA YAKO ASHINDE SHINDANO LA TMT
![](http://3.bp.blogspot.com/-5AuHtiA7fWw/U9i42hEgSsI/AAAAAAAF70M/HdDdC9TBuWQ/s1600/f717f5726255feeb5f1513028ae137c4.jpg)
9 years ago
StarTV01 Oct
Peter Samson anaomba msaada 0754 57 26 59
Mkazi wa Mecco jijini Mwanza Peter Samson Majeuri anaomba msaada wa matibabu ya mkono baada ya mfupa wa ndani kuvunjika na kupoteza mfumo wa mawasiliano kati ya mkono na ubongo kutokana na ajali ya gari.
Peter anasumbuliwa na tatizo hilo kwa takriban miaka 16 hali iliyosababisha mkono wake wa kulia kuwekewa chuma.
Tatizo hilo limesababisha maisha yake kuwa magumu baada ya mke wake kumuona kama mzigo na kumkimbia akimwachia watoto sita.
Baba huyu mwenye familia ya watoto sita amekuwa...
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yakabidhi msaada wa madawati kwa shule ya Msingi Maweni-Kigamboni,Jijini Dar
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-79pES9e1QJg/VHJcTM-5xcI/AAAAAAAAPhw/yoBozBohoJs/s72-c/10818625_10154825415810247_1542609338_n.jpg)
Kiijana Suleiman Othuman anaomba msaada wenu
![](http://1.bp.blogspot.com/-79pES9e1QJg/VHJcTM-5xcI/AAAAAAAAPhw/yoBozBohoJs/s1600/10818625_10154825415810247_1542609338_n.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1tL64dO6Rv8/VHJcyZdJJcI/AAAAAAAAPh4/PnWtPlsdBBA/s1600/10815677_10154825415795247_2063630105_n.jpg)
10 years ago
MichuziMwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai atembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu Kigamboni