Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MDAU WA MBEYA ANAOMBA KURA YAKO ASHINDE SHINDANO LA TMT

MTAWA KAPALATA MWAIJUMBA, MSHIRIKI WA MASHINDANO YA VIPAJI VYA KUIGIZA Tanzania Movie Talents (TMT) KUTOKA NYANDA ZA JUU KUSINI, MBEYA, ANAOMBA KURA YAKONAMBA YAKE YA USHIRIKI NI 04.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mary Lucos anaomba kura yako kwenye mashindano ya nani mkali Clouds TV

DSC_0248

Habari Marafiki, Wapenzi na Mashabiki  nimeingizwa kwenye mashindano ya nani mkali Clouds Tv ni mwanamke pekee kwenye kinyang’anyiro kumtafuta Mwanamuziki bora wa bendi wa mwaka.

Tafadhali sana nahitaji sana kura zenu ili niweze kushinda.

Kupiga kura tuma sms andika MKALI 1 kisha tum kwenda 15678 hapo utakua umenisapoti sana mtu wangu wanguvu, love you all.

Mary Lucos wa Skylight Band.

 

11 years ago

Michuzi

HARRIET SHANGARAI: MGOMBEA WA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV ANAOMBA KURA YAKO

Ndugu WanaDMV, kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kujitambulisha kwenu rasmi kama Mgombea wa Nafasi ya Makamu wa Raisi wa Jumuiya ya Watanzania DMV.HARRIET SHANGARAI
Nikiwa na mapenzi ya dhati kwa jamii,nimekuwa mtetezi wa haki za watoto yatima toka utotoni mwangu. Binafsi, nilijitoa kwa kidogo nilichokuwanacho na pia, nimekuwa muhamasishaji wa misaada ya elimu,chakula mavazi na malazi kwa watoto yatima. Kwa ufupi  nimeona mafanikio ya kina, japo bado wahitaji ni wengi.Vile vile,...

 

11 years ago

Michuzi

SASA UNAWEZA KUWAPIGIA KURA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) UWAPENDAO KUPITIA UKURASA WETU WA FACEBOOK

KAMA BADO HUJALIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KULIKE UKURASA WETU KWA KUFUATA KIUNGANISHI HIKIhttps://www.facebook.com/tztmt ukishalike ukurasa wetu fuata hatua hizo chini Ukurasa wetu ukifunguka Unaonekana kama Picha inavyoonyesha juu hapo Utafata hatua ya Kwanza kama ilivyoonyeshwa kwenye picha hizo.Ukishamaliza kumpigia kura mshiriki umpendae kwa kubofya kitufe kilichoandikwa VOTE utapokea ujumbe mfupi kwenye kioo chako na utakuwa tayari ushampigia kuraHatimae...

 

11 years ago

Michuzi

MARA BAADA YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) KUMALIZIKA KANDA YA PWANI, WATANZANIA SASA KUANZA KUWAPIGIA KURA WASHINDI

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Proin Promotions katika Mradi wa Kusaka vipaji vya Kuigiza Nchini TMT (Tanzania Movie Talents) wakishangilia kwa kufungua Mvinyo usio na kilevi mara baada ya kumaliza zoezi la Kuzunguka Katika Kanda Sita nchini kwa kusaka Vipaji vya kuigiza ambapo zoezi hilo lilimalizika katika Kanda ya Pwani, Mkoani Dar Es Salaam ambapo washindi watano kutoka kanda ya Pwani walipatikana na Kupewa zawadi zao za Shilingi laki Tano Kila Mmoja na Kushiriki katika fainali ya Kuwania...

 

11 years ago

GPL

WIKI 3 KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TMT, WASHIRIKI WENGINE 2VWAAGA SHINDANO‏

 Joyce Kalinga Mshiriki wa Shindano la TMT ambae apia alikua mshindi kutoka Kanda ya Kati Mkoani Dodoma akitoa maneno yake ya shukrani na pia kuwashukuru wadau, Kampuni ya Proin Promotions na watazamaji na waliompigia kura japokuwa bahati haikuwa yake kutokana na kutolewa kwenye kinyanganyiro hicho baada na uchache wa kura kutoka kwa watazamaji.  Lulu na Joti wakitoa maelekezo kwa washiriki wawili wa Shindano la TMT...

 

11 years ago

Michuzi

WIKI TATU KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MPVIE TALENTS (TMT), WASHIRIKI WENGINE WAWILI WAAGA SHINDANO WIKI HII

 Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam. Mshiriki Ally Kiwendo ambae alikuwa ni mmoja kati ya washindi watatu kutoka kanda ya Kusini mkoani Mtwara akitoa maneno ya shukrani kwa Kampuni ya Proin Promoitons ambao ndio waandaaji na waendeshaji wa Shindano la TMT mara baada ya kutangazwa kuaga shindano hilo kutokana na Kura kuwa chache,...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Aron Sondi aunguliwa na nyumba kigamboni, Dar es salaam. Anaomba msaada wa hali na mali asitirike

Mdau  Aron Sondi anayeishi Kigamboni jijini Dar es Salaam, ameunguliwa na nyumba na kupoteza mali na vitu vyote jana jioni. Familia inaomba michango ya hali na mali ili kumsitiri mweneztu huyu. Michango iwasilishwe kupitia namba ya Aron Sondi:0763210530 au kupitia Tigo pesa ya mke wake Sara Obel: 0713560844.Asante sana na mbarikiwe. Hizi ni taswira mbalimbali za tukio la ajali hiyo ambapo moto unaosadikiwa kutokea jikoni umetekeza nyumba yote na mali za familia hiyo.


Sehemu ya nyuma ya nyumba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani