Mary Lucos anaomba kura yako kwenye mashindano ya nani mkali Clouds TV
Habari Marafiki, Wapenzi na Mashabiki nimeingizwa kwenye mashindano ya nani mkali Clouds Tv ni mwanamke pekee kwenye kinyang’anyiro kumtafuta Mwanamuziki bora wa bendi wa mwaka.
Tafadhali sana nahitaji sana kura zenu ili niweze kushinda.
Kupiga kura tuma sms andika MKALI 1 kisha tum kwenda 15678 hapo utakua umenisapoti sana mtu wangu wanguvu, love you all.
Mary Lucos wa Skylight Band.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5AuHtiA7fWw/U9i42hEgSsI/AAAAAAAF70M/HdDdC9TBuWQ/s72-c/f717f5726255feeb5f1513028ae137c4.jpg)
MDAU WA MBEYA ANAOMBA KURA YAKO ASHINDE SHINDANO LA TMT
![](http://3.bp.blogspot.com/-5AuHtiA7fWw/U9i42hEgSsI/AAAAAAAF70M/HdDdC9TBuWQ/s1600/f717f5726255feeb5f1513028ae137c4.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8JSh22QIQAk/U81kjQV6dfI/AAAAAAAF4hM/27HXgLDRENQ/s72-c/png_base64c5152851411af50e.png)
HARRIET SHANGARAI: MGOMBEA WA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV ANAOMBA KURA YAKO
![](http://4.bp.blogspot.com/-8JSh22QIQAk/U81kjQV6dfI/AAAAAAAF4hM/27HXgLDRENQ/s1600/png_base64c5152851411af50e.png)
Nikiwa na mapenzi ya dhati kwa jamii,nimekuwa mtetezi wa haki za watoto yatima toka utotoni mwangu. Binafsi, nilijitoa kwa kidogo nilichokuwanacho na pia, nimekuwa muhamasishaji wa misaada ya elimu,chakula mavazi na malazi kwa watoto yatima. Kwa ufupi nimeona mafanikio ya kina, japo bado wahitaji ni wengi.Vile vile,...
10 years ago
Dewji Blog09 May
10 years ago
Dewji Blog06 May
NSSF waitandika Fastjet 5-4 kwenye mashindano ya Clouds Sports Extra Bonanza
![SITA - KOCHA](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/SITA-KOCHA.jpg)
![TANO - WARM UP2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/05/TANO-WARM-UP2.jpg)
11 years ago
Michuzi19 Apr
10 years ago
CloudsFM02 Dec
MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA,JOSEPH KUSAGA AKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST KUZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast leo na Gerald Hando,ambapo kauli mbiu ya sherehe ya mwaka huu ni #TunakufunguliaDunia #KuwaUnachotaka
10 years ago
MichuziMtanzania MUIGIZAJI anaeishi San Francisco Ernest Napoleon, anaomba Kura zenu
![](https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfa1/v/t1.0-9/1006095_10154662450890247_1313383734386018693_n.jpg?oh=ae9fc4abe37528cbdda018b7f9f3fd16&oe=54B54838&__gda__=1420737459_3806b5fc185d1b48867f979d7e599d71)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8Xf2kBXWFn*2M4PbPCnBrgLsNuHmZVq3lri5iOkqAxDI6qJpODlZxOhmQvduaSLNKo785MPspvpEti1NMiaFfhOd7WWFHrw/julianadidone3.jpg)
SHOGA; MAMA YAKO ASIKUINGILIE KWENYE NDOA YAKO
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu
Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.
“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”
Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.
Jionee picha hizo.
By Mzee wa Ubuyu