Anahitaji msaada wako: Aron Sondi aunguliwa na nyumba Kigamboni
BWANA Aron Sondi anayeishi Kigamboni jijini Dar es Salaam, ameunguliwa na nyumba na kupoteza mali na vitu vyote jana jioni.
Tunaomba michango ya hali na mali iwasilishwe kupitia namba ya Aron Sondi: 0763210530 au kupitia Tigo pesa ya mke wake Sara Obel: 0713560844.
Asante sana na mbarikiwe. Zifuatazo ni picha mbalimbali za tukio la ajali hiyo ambapo moto unaosadikiwa kutokea jikoni umetekeza nyumba yote na mali za familia hiyo.
Sehemu ya nyuma ya nyumba wakati moto ukiwa umetanda...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Kw5J-iI_eBE/VEdb9emM7bI/AAAAAAAGslw/b_MA8f6-pGM/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Mdau Aron Sondi aunguliwa na nyumba kigamboni, Dar es salaam. Anaomba msaada wa hali na mali asitirike
Mdau Aron Sondi anayeishi Kigamboni jijini Dar es Salaam, ameunguliwa na nyumba na kupoteza mali na vitu vyote jana jioni.
Familia inaomba michango ya hali na mali ili kumsitiri mweneztu huyu. Michango iwasilishwe kupitia namba ya Aron Sondi:0763210530 au kupitia Tigo pesa ya mke wake Sara Obel: 0713560844.Asante sana na mbarikiwe. Hizi ni taswira mbalimbali za tukio la ajali hiyo ambapo moto unaosadikiwa kutokea jikoni umetekeza nyumba yote na mali za familia hiyo.![](http://2.bp.blogspot.com/-dU-gwrexTn8/VEdc3kVQJiI/AAAAAAAGsmg/F4536V_G5Uc/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-_8CxC9td_vg/VEdb-XHPOVI/AAAAAAAGsl4/YTjI637urH8/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-M5haKCSKP8Q/VEdcDDG_nTI/AAAAAAAGsmI/GjpSAhKCSUE/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
Sehemu ya nyuma ya nyumba...
![](http://4.bp.blogspot.com/-Kw5J-iI_eBE/VEdb9emM7bI/AAAAAAAGslw/b_MA8f6-pGM/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dU-gwrexTn8/VEdc3kVQJiI/AAAAAAAGsmg/F4536V_G5Uc/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-_8CxC9td_vg/VEdb-XHPOVI/AAAAAAAGsl4/YTjI637urH8/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-M5haKCSKP8Q/VEdcDDG_nTI/AAAAAAAGsmI/GjpSAhKCSUE/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-bljWIcSMWRA/VEdcb1z_moI/AAAAAAAGsmY/Sy6vtL8k1Qk/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LvAtrVYA-bu*RsxL*WspWUQCDfTDOHRnZK1nFdUru6eCEwr3*0VsHACsEfMHszrndQoG7MloMOVDJ9tFQ0tb53y/BiCheka.jpg)
BI. CHEKA ANAHITAJI MSAADA WAKO
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Bi Cheka hivi sasa ni mgonjwa. Anahitaji matibabu na huduma muhimu kutokana na umri wake mkubwa (ana miaka 55). Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Bi Cheka. Hali yake kimaisha ni mbaya, kwani anaishi katika kibanda cha udongo, yeye na wajukuu zake. Global Publishers inaendesha harambee hii ili aweze angalau kujenga kibanda cha bati na kupata matibabu. Mchangie chochote ulichonacho, iwe 500, 1000,...
9 years ago
Vijimambo05 Sep
TUMSAIDIE NATALIA ANAHITAJI MSAADA WAKO
![](https://2dbdd5116ffa30a49aa8-c03f075f8191fb4e60e74b907071aee8.ssl.cf1.rackcdn.com/5347662_1440352291.0817.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iMy2L4jbYz4/U5YZdymwLtI/AAAAAAAFpW8/ivtuCN6WlMw/s72-c/unnamed+(6).jpg)
Mtoto Maimuna Yahaya anahitaji msaada wako
![](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/Ei1ebpjSODD_QN8iVoRZqs6knggIPt9-9qwHlltd6ffrdDafQhIS1v8zJbLP5sjz9pGC48t4k9H9C9Vj-DuFoOfzfvkJD-SXL7luwGBQ0UxKSlgKkpAdY-H4ZoKidLBnJ2vQWt9ELQ8_aL-x4E1G5vVrysjVq3EUWeR6wx6ElaD5VhfRZ6KDaHBJ4UEzR28cEV2zjyw6CmDhRkmnG_vXu6JO6snRexGRM7NJHTk2b_YmyBnbHbvVqwK4JYbrmZJJPKRHJcBqHJqtdEJha3zqtd8y5C0U51qnb6kbw2FbgozPKnt1G_CvfmVfZcv9EG4tjvisc5N3PrvNdvdOe4EtcVHqNK4XiuuH_9Xs=s0-d-e1-ft#https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F2.bp.blogspot.com%2F-RxKspd_dV0A%2FU5VWqrNFWkI%2FAAAAAAAAV7w%2FaL8RXx_2ZVc%2Fs1600%2FIMG-20140609-WA0002.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Aax03I0kAOY/VZT_e8x6zQI/AAAAAAAC8F8/jCqsa47q8Gw/s72-c/New%2BPicture.png)
OMBI LA MSAADA WA HALI NA MALI ; KIJANA ABEL MACHANGA ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU
![](http://2.bp.blogspot.com/-Aax03I0kAOY/VZT_e8x6zQI/AAAAAAAC8F8/jCqsa47q8Gw/s640/New%2BPicture.png)
Familia inaomba msaada wa wasamaria wema ili kugharamia matibabu ya Abel kutokana kuwa gharama za matibabu ni kubwa kuliko uwezo wa familia.
Kwa yeyote atakayetakayeguswa na taarifa hii, anakaribishwa kumtembelea Abel Hospitalini ili kukutana naye na kusikia kilio chake Kwa mlio mbali,...
10 years ago
MichuziMwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai atembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu Kigamboni
10 years ago
Vijimambo19 Nov
KUNA MTANZANIA MWENZETU ANAHITAJI MSAADA MINNESOTA NCHINI MAREKANI
Mchungaji Anastasia (phD) aliugua akiwa Usariver Arusha kwa muda wa wiki kadhaa kabla ya kulazwa Hospitalini Seliani pale
Arusha mjini I C U kwa wiki kama tatu hivi hatimaye alihamishwa Nairobi Hospital Kenya kwa Helicoptor tarehe 29 September
2014 na kufariki tarehe 19 October, 2014. na siku hiyo hiyo ya tarehe 19 October 2014 Apt ya Sebastian at 610S 8th st Apt 310,
Minneapolis, Mn 55404 iliteketea moto na binti yake aitwaye Joyce S Malle aliungua vibaya na kulazwa Hospitalini kule...
Arusha mjini I C U kwa wiki kama tatu hivi hatimaye alihamishwa Nairobi Hospital Kenya kwa Helicoptor tarehe 29 September
2014 na kufariki tarehe 19 October, 2014. na siku hiyo hiyo ya tarehe 19 October 2014 Apt ya Sebastian at 610S 8th st Apt 310,
Minneapolis, Mn 55404 iliteketea moto na binti yake aitwaye Joyce S Malle aliungua vibaya na kulazwa Hospitalini kule...
11 years ago
KwanzaJamii30 Jul
Mtoto mwenye kipaji cha kukariri Bibili anahitaji msaada
Na Albano Midelo
MTOTO Alois Milinga pichani mwenye kipaji cha kukariri Biblia anahitaji msaada wa sh. 300,000 ili aweze kukamilisha masomo ya kidato cha nne mwaka huu.
Mtoto huyo mwenye uwezo wa kukariri Biblia neno kwa neno anasoma katika shule ya sekondari ya Mbesa iliyopo wilayani Tunduru mkoani Ruvuma mwaka huu anatarajia kumaliza kidato cha nne.
Hata hivyo amekosa fedha za kumalizia ada pamoja na michango mingine ambayo inahitajika katika shule hiyo kutokana na mzazi wake mama yake...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CLSjlE6R4zk/VjYQmWjGcLI/AAAAAAAID2o/n_pkPSf_Oxw/s72-c/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
TANGAZAO KWA WASAMALIA WEMA: MTOTO CAREEN ANAHITAJI MSAADA
![](http://1.bp.blogspot.com/-CLSjlE6R4zk/VjYQmWjGcLI/AAAAAAAID2o/n_pkPSf_Oxw/s640/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba zimebana kiasi hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.
Wazazi wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.Ewe Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa tunaomba...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania