mdau ashuhudia ngoma ya argentina na Bosnia Herzegovina
![](http://4.bp.blogspot.com/-qcIJEfyApU8/U54rxw2fCOI/AAAAAAAFq70/59ejWcEdqWo/s72-c/unnamed+(19).jpg)
Mdau Moody Kiluvia akiwa katika Uwanja wa Maracana jijini Rio de Janeiro kushuhudia mechi ya Argentina dhidi ya Bosnia Herzegovina ambapo hadi sasa Argentina wanaongoza kwa bao 2-0. Matokeo mengine ya leo ni Uswisi imeshinda 2-1 dhidi ya Ecuador, wakati Ufaransa imeizamisha Honduras kwa bao 3 mtungi.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Ireland yaifunga Bosnia-Herzegovina
Timu ya taifa ya Jamuhuri ya Ireland,imetinga katika fainali za michuano ya ulaya
11 years ago
Bongo510 Jul
Argentina yailaza Uholanzi 4-2, fainali Argentina na Ujerumani july 13
Timu ya soka ya Argentina imejikatia tiketi ya kufuzu kwa fainali yake ya kwanza tangu mwaka 1990 baada ya kuilaza timu ya Uholanzi kwa goli 4-2, ambapo fainali itachuana na Ujerumani july 13 siku ya jumapili. Katika mchezo huo wa nusu fainali wa jana, Argentina na Uholanzi zilitoka sare tasa baada ya muda wa kawaida […]
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
10 years ago
BBCSwahili08 Jul
UN na miaka 20 ya mauaji ya Bosnia.
Mipango ya upigiaji kura wa rasimu ya maoni ya Umoja wa Mataifa kuadhimisha miaka ishirini tangu kutokea kwa mauaji ya halaiki
11 years ago
BBCSwahili08 Feb
Wimbi la ghasia nchini Bosnia
Maelfu ya waandamanaji wanaolalamikia ukosefu wa ajira na ufisadi wamekabiliana na polisi huku 200 wakijeruhiwa
11 years ago
BBCSwahili22 Jun
Nigeria 1-0 Bosnia baada ya miaka 16
Ushindi wa kwanza katika miaka 16 umefufua kampeini ya Nigeria katika kombe la dunia
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/75719000/jpg/_75719597_peter_odemwingie_reuters.jpg)
World Cup: Nigeria 1-0 Bosnia
Peter Odemwingie's goal in the first half is enough for Nigeria to beat Bosnia, who fail to qualify for the last 16.
11 years ago
BBCSwahili16 Jun
Lionel Mesi atamba dhidi ya Bosnia
Mshambulizi wa Argentina Lionel Messi alifunga bao la ushindi dhidi ya Bosnia Hercegovina
10 years ago
BBCSwahili06 Jun
Papa kufanya ziara ya siku moja Bosnia
Kiongozi wa kanisa katoliki anafanya ziara ya siku moja nchini Bosnia ambapo anatarajiwa kutoa wito wa kuwepo amani
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania