Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Papa kufanya ziara ya siku moja Bosnia

Kiongozi wa kanisa katoliki anafanya ziara ya siku moja nchini Bosnia ambapo anatarajiwa kutoa wito wa kuwepo amani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA VATICAN NA MWAKILISHI WA PAPA NCHINI TANZANIA AWASILI MKOANI KAGERA KUFANYA ZIARA YA SIKU SITA

Na Sylvester Raphael Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla atembelea mkoa wa Kagera katika ziara ya kujione shughuli mbalimbali za Kanisa Katoliki mkoani zinavyotekelezwa pia na kutoa Baraka za pamoja kwa wakristo wa kanisa hilo.  Balozi Padilla akiwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa Kagera alipowasili kumsalimia aliishukuru serikali ya mkoa wa Kagera kwa kuwaunganisha wananchi wa Kagera bila kujali imani zao ambapo wanafanya shughuli zao kila mmoja...

 

9 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA: Ziara ya Papa Francis Afrika

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anaanza ziara yake ya kwanza Afrika leo na amepangiwa kutua uwanja wa ndege ya JKIA, Nairobi baadaye leo.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI KIGOMA KIGOMA

Na Editha Karlo-Michuzi TV,Kigoma.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.

Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA AONDOKA KIGOMA BAADA YA ZIARA YA SIKU MOJA




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo  Februari 22, 2020 ameondoka mkoani Kigoma baada ya kukamilisha ziara ya kikazi ya siku moja. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akiwaaga viongozi  kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma baada ya kukamilisha ziara ya siku moja mkoani humo, Februari 22, 2020. Wa pili kulia ni...

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda awasili Tanga kwa ziara ya kikazi ya siku moja

PG4A5378

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga  cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5383

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga  cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Chiku   Gallawa. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Yoweri Museveni Awasili Nchini kwa Ziara ya siku moja

 Rais wa Uganda Yoweri Museveni akiteremka katika ndege iliyomleta leo jijini dar es Salaam kwa ajili ya  ziara yake ya siku moja nchini Tanzania . Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akikagua Gwaride la Maaskari pamoja na Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni baada ya kuwasili  leo jijini  katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya ziara ya siku moja. Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete (Kulia) pamoja na mgeni...

 

10 years ago

Vijimambo

Makamu wa Rais wa Afrika Kusini awasili nchini kwa ziara ya siku moja

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu  Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa Matamela alipofika Ikulu kwa mazungumzo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Ramaphosa. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikino wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) kwa pamoja na Mhe. Wasira wakifuatilia mazungumzo kati ya Mhe. Rais na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Chiku Gwao. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani