Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MDAU ASIA KINJENGA HAPATA DIGRII YA ELIMU YA JAMII SOSHIOLOJIA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Asia Kinjenga kulia akiwa na nyuso ya furaha pamoja na mwenzie Felician Francis baada ya kumaliza digrii ya elimu ya jamii katika sosholojia wakati wa mahafali ya 48 ya chuo kikuu cha Dar es salaam hivi karibuniAsia Kinjenga wa pili kulia akiwa na wahitimu wenzie wa mahafali ya 48 katika chuo kikuu cha Dar es salaamAsia KinjengaAsia Kinjenga akiwa na familia yakeAsia Kinjenga kulia akipongezwa kwa kuvalishwa shada la mauwa na mama yake mzazi Bi, Anchimole Lutengano wakati wa mahafali ya 48...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mdau Asia Kinjenga alamba digrii ya elimu ya jamii — Soshiolojia UDSM

DSC_0698

Asia Kinjenga (kulia) akiwa na nyuso ya furaha pamoja na mwenzie Felician Francis baada ya kumaliza digrii ya elimu ya jamii katika sosholojia wakati wa mahafali ya 48 ya chuo kikuu cha Dar es salaam hivi karibuni.

DSC_0691

Asia Kinjenga (wa pili kulia) akiwa na wahitimu wenzie wa mahafali ya 48 katika chuo kikuu cha Dar es salaam.

DSC_0727

Asia Kinjenga.

DSC_0732

Asia Kinjenga kulia akipongezwa kwa kuvalishwa shada la mauwa na mama yake mzazi Bi, Anchimole Lutengano  wakati wa mahafali ya 48 ya chuo kikuu cha Dar...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Meshack Ndoje alamba nondozz yake Chuo Kikuu cha Dar es salaam University

 Mdau Meshack Ndoje jana Novemba 15, 2014 kwenye mahafali ya arobaini na nne (44) ya chuo kikuu cha Dar es Salaam katika ukumbi wa mlimani city alikuwa ni mmoja wa walamba nondozz waliotunukiwa Nondozz zao,Mdau Meshack amelamba nondozzz ya Takwimu yaani B.A. Statistics.
Mdau Meshack Ndoje akiwa na baadhi ya ndugu zake waliofika kumsapoti kwenye mahafali hayo.

 

10 years ago

Michuzi

MDAU DATIUS JOVIT ALAMBA NONDOZ YA ELIMU YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA DUCE

 Kijana Datius akiwa katika Picha ya Pamoja na Baba yake Mzazi (nyuma ya babu yake aliyevaa miwani) Babu zake na dada zake wakati alipotunukiwa nondo yake ya elimu kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE hapo jana Datius Akiwa katika picha ya pamoja na Baba yake Mzazi (Kushoto) pamoja na Babu yake mdogo (kulia) Akivishwa taji na Dada yake aitwaye NeemaAkiwa na Dada mara baada ya kulamba nondoz.Picha Zote na Josephat Lukaza wa http://www.josephatlukaza.com

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Familia ya Prof Cuthbert  Zebadia Kimambo wa Chuo Kikuu Dar es  Salaam inasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao mpendwa Samwel Cuthbert Kimambo (pichani) kilichotokea alfajiri ya leo tarehe 1 June 2014 kwa ajali ya gari.  Habari ziwafikie wana Kimambo wote popote pale walipo, wana Tarimo wote popote pale walipo; ndugu, jamaa na marafiki pamoja na wafanyakazi wote wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.   Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa Baba wa Marehemu, Mtaa wa Kileleni, Nyumba namba...

 

9 years ago

Michuzi

PSPF YATOA MSAADA WA MAGODORO CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, (Anayeshughulikia masuala ya Utawala), Profesa David Mfinanga, (Watatu kushoto), akipeana mikono na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (watatu kulia), wakati akipokea msaada wa magodoro 118 yaliyotolea wan Mfuko huo kwenye hafla fupi iliyofanyika chuon I hapo, Agosti 24, 2015. Magodoro hayo ni kwa ajili ya wanafunzi walioathiriwa na mogto uliozuka kwenye bweni kitalu B kule hosteli za Mabibo, Aprili mwaka huu...

 

9 years ago

Mwananchi

Habari njema!: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sasa kusimamia sanaa

Kwa muda mrefu sasa, Tanzania imeonekana kukua katika nyanja mbalimbali za sanaa. Muziki wake umekuwa ukisikika katika mataifa mbalimbali duniani na hivyo kutoa nafasi hata kwa wasanii wake kwenda kufanya kazi huko.

 

9 years ago

GPL

PSPF YATOA MSAADA WA MAGODORO CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM‏

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, (Anayeshughulikia masuala ya Utawala), Profesa David Mfinanga, (Watatu kushoto), akipeana mikono na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (watatu kulia), wakati akipokea msaada wa magodoro 118 yaliyotolea wan Mfuko huo kwenye hafla fupi iliyofanyika chuon I hapo, Agosti 24, 2015. Magodoro hayo ni kwa ajili ya wanafunzi walioathiriwa na mogto uliozuka...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wahamasisha utalii wa ndani kwa vitendo

Mnyama Ngiri akiwa amejipumzisha kwenye tope kama alivyokutwa na kamera yetu.

Baadhi ya Wanafunzi  wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wamefanya ziara ya siku mbili ya kitalii katika hifadhi ya taifa ya Saadani pamoja na sehemu ya kihistoria ya Kaole iliyopo Bagamoyo ikiwa ni sehemu ya kujifunza pamoja na kuhamasisha utalii wa ndani.

Wanafunzi hao kutoka katika “Collage” tofauti tofauti ikiwemo utalii, uchumi na biashara waliofanya ziara hiyo ikiwa chini ya mwamvuli wa University of Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani