Mdee amkaribisha Warioba CHADEMA
MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake la CHADEMA (BAWACHA), Halima Mdee, amewakaribisha katika chama hicho, wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Jaji mstaafu Joseph Warioba, akisema wanawathamini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Mdee: Tunawakaribisha Warioba, Butiku Chadema
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Mbowe amkaribisha Sumaye CHADEMA
MWENYEKITI wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amemkaribisha Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye kujiunga na chama chake ili kuendeleza mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa....
10 years ago
TheCitizen05 Oct
Chadema’s Mdee arrested
10 years ago
TheCitizen09 Oct
Chadema’s Mdee finally bailed out
10 years ago
Dewji Blog13 Sep
Halima Mdee aibuka kidedea wanawake CHADEMA
Mbunge wa Kawe Halima Mdee CHADEMA.
Na Mwandishi wetu
Mbunge wa Kawe Halima Mdee CHADEMA amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chama hicho (BAVICHA) unaoendelea katika ukumbi wa Mlimani City.
Akizungumza baada ya uchaguzi huo, Mdee aliwaasa wanawake kwa wanawake kuwa wamoja badala ya kupigana vijembe wao kwa wao ili maendeleo ya mwanamke yaweze kupatina na na kuondokana na mfumo dume
“Nimezoea kuona watu wanaotukashifu ni wa upande wa pili kutokana na mfumo dume uliojengeka...
10 years ago
Mtanzania13 Sep
Sura mpya Chadema, Mdee juu, Abwao nje
![SURA MPYA CHADEMA](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Mtanzania-130914.jpg)
SURA MPYA CHADEMA
NA ELIZABETH HOMBO
KATIKA hali ambayo haikutarajiwa na wengi, Uchaguzi Mkuu wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umeonekana kuwa wenye mchuano mkali huku majina ya wanasiasa wenye ushawishi katika chama hicho waliojitokeza kuwania nafasi za uongozi yakishindwa kutamba.
Mwenendo huo unaochukua mwelekeo wa kuwepo mapinduzi ya kiuongozi ndani ya jumuiya za chama hicho, ulijitokeza jana wakati wa uchaguzi wa viongozi wapya wa Baraza la Wanawake wa chama...
10 years ago
TheCitizen13 Sep
Lawmaker Mdee elected as Chadema women wing chair
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-r3Zb89jQK30/VWH6lI3xNgI/AAAAAAAAUAM/2Erv0rKuGEM/s72-c/Flora%2Bm%2Bbasha1.jpg)
GWAJIMA, FLORA MBASHA WAIBUKIA MKUTANO WA CHADEMA KAWE, NI ULE WA KUZINDUA KITABU CHA MBUNGE HALIMA MDEE
![](http://1.bp.blogspot.com/-r3Zb89jQK30/VWH6lI3xNgI/AAAAAAAAUAM/2Erv0rKuGEM/s640/Flora%2Bm%2Bbasha1.jpg)
MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, na mwibaji nguli wa muziki wa Injili Flora Mbasha, leo hii alasiri Mei 24, wameibukia kwenye mkutano wa hadhara wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Wakati Gwajima alihutubia, Mbasha alitumbuiza kwenye mkutano huo uliokuwa wa kuzindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA), Flora Mbasha chenye kichwa cha habari "Utekelezaji wa...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s72-c/1.jpg)
JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE
![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-D6jzGhxpqTw/VgFSU7wmRFI/AAAAAAAAn6U/Tt1AlaI5QWY/s640/3.jpg)