Mdundiko na Network za Tanzania zatajwa kuwania tuzo za AMVCAs
Filamu za Tanzania, Mdundiko iliyoongozwa na Timoth Conrad na kuchezwa na Biggie pamoja na Network iliyoongozwa na John Kalaghe na kuchezwa na Monalisa, zimetajwa kuwania tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards 2015, AMVCAs. Majina ya tuzo hizo yalitangazwa jana. Filamu hizo zitashindana kwenye kipengele cha Best Indigenous Language – Swahili. Tuzo zitatolewa March 7, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies11 Dec
Filamu ya MDUNDIKO na NETWORK, zachaguliwa kushiriki tuzo za Africa Magic Viewers’ Choice Awards 2015 (AMVCAs)
Baada ya filamu yangu ya DOGO MASAI kushinda tuzo marekani sasa ni hii ya MDUNDIKO pamoja na NETWORK ya Kalage. Mashindano haya yanajumuisha filamu mbalimbali toka bara la Afrika. Filamu hizi zote mbili zipo katika category ya Best Indigenous Language – Swahili zikishindanishwa na filamu za Veve ya Sarika Hemi Lakhani (KENYA), Mama Duka ya Njoki Muhoho na Almasi ya Fredrick Odhiambo.
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Filamu zitakazochuana Tuzo ya Filamu Tanzania zatajwa
WAANDAAJI wa shindano la Tuzo za Filamu Tanzania lililopewa jina la Action & Cut Viewers Choice Award 2013 wamezitaja filamu zitakazopigiwa kura na watazamaji kupitia kipindi cha Action & Cut...
10 years ago
Bongo Movies07 Mar
Timoth na Kallage Watua Lagos Kwenye Tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards (AMVCAs)
Tasnia ya filamu hapa Bongo inawakilishwa na Timoth Conrad ambae ni muongozaji na mtengenezaji wa filamu pamoja na John Kallage ambae pia ni muongozaji wa filamu kwenye tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards (AMVCAs) ambazo zinafanyika leo mjini Lagos nchni Nigeria.
Timoth na Kallage wamechaguliwa kuwania tuzo hizo katika kipengele cha Best Local Language SWAHILI ambapo filamu mbili za kibongo, Network ya John Kallage na Mdundiko ya Timoth zimeingia kwenye kipengele...
9 years ago
Bongo528 Oct
Muongozaji wa filamu wa Tanzania atajwa kuwania tuzo za Marekani
10 years ago
Habarileo27 Mar
965 kuwania tuzo za EJAT
KAZI 965 zimepelekwa kushindania tuzo 21 za shindano la sita la Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) huku kazi 42 zikitoka Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN).
11 years ago
Habarileo26 Feb
Waandishi 101 kuwania Tuzo za Umahiri
WAANDISHI wa habari 101 wameteuliwa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT 2013) zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) ambapo kilele chake kitakuwa Machi 14, mwaka huu.
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Samatta kuwania tuzo ya mchezaji bora wa CAF
9 years ago
Bongo512 Nov
Lollypop atajwa kuwania tuzo za Xtreem za Kenya
![Lolly](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Lolly-300x194.jpg)
Muimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki, Goodluck Gozbert maarufu kama Lollypop ametajwa kuwania tuzo za muziki wa injili za nchini Kenya, Xtreem Awards.
Xtreem ni tuzo kubwa nchini Kenya baada ya Groove Awards na zimeendeshwa kwa miaka miwili sasa.
Pamoja na kupata jina kwa uandishi wa nyimbo kama Basi Nenda ya Mo Music na Siachana Nawe na Nivumilie za Barakah Da Prince, Lollypop hufanya muziki wa injili kwa kutumia jina lake halisi Goodluck Gozbert.
Gozbert ametajwa kwenye...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-pc6BPIjaF10/VCw9KlwsDRI/AAAAAAAAqSo/JzK-dJ913ik/s72-c/PLATINUM56.jpg)
DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO NYINGINE NIGERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-pc6BPIjaF10/VCw9KlwsDRI/AAAAAAAAqSo/JzK-dJ913ik/s640/PLATINUM56.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-CAo4F8KRl5g/VCw9HEWDRJI/AAAAAAAAqSY/jYY1mtktsQc/s640/headies-2014.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HPvsEAtb8H4/VCw9HWzJZQI/AAAAAAAAqSc/4ZNzm7l1xIQ/s1600/headies.jpg)