Mechi kati ya Ubelgiji na Uhispania yafutwa
Mechi ya kirafiki kati ya Ubelgiji na Uhispania ambayo ilikuwa imeratibiwa kuchezwa leo mjini Brussels Ubelgiji imefutiliwa mbali
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTANZANIA KUWA NCHI YA HESHIMA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA BIASHARA KATI YA AFRIKA NA UBELGIJI APRILI 2016
Balozi wa Tanzania Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu wa Taasisi ya Afrika Rise baada ya kikao kilichofanyaka Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji kuwasilisha taarifa za Tanzania kuteuliwa kuwa Nchi ya Heshima katika Kongamano la Biashara Kati ya Afrika na Ubelgiji litakalofanyika Aprili 2016. Makampuni zaidi ya 1000 kutoka Taanzania, Ubeligiji, Luxembourg, Afrika, Canada, Switzerland na Dubai...
11 years ago
MichuziBALOZI KAMALA ASHIRIKI BARAZA LA IDD EL-FITR LA WAISLAMU WA AFRICA MASHARIKI NA KATI WANAOISHI UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza katika Baraza la Idd El-Fitr la Waislamu wa Afrika Mashariki na Kati Wanaoishi Ubelgiji. Baraza hilo limefanyika leo Brussels -Ubelgiji .
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboYALIYOJIRI KWENYE MECHI KATI YA SIMBA NA MGAMBO SHOOTING
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akipokea mpira kutoka kwa mwamuzi, Jacob Odongo kutoka Mkoa wa Mara baada ya kufunga 'hat trick' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mgambo Shooting mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.(Picha na Francis Dande) Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mgambo Shooting, Bashiru Chanache katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanya wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0.
9 years ago
VijimamboMECHI KATI YA TANZANIA NA ALGERIA KUCHEZWA NOVEMBA 14 MWAKA HUU
Mchezo wa hatua ya pili kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2018 nchini Urusi kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Algeria (The Fox Desert) utafanyika tarehe 14 Novemba, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Kikosi cha Stars chini ya...
Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager itacheza mchezo huo dhidi ya Mbweha wa Jangwani siku ya Jumamosi Novemba 14, na mchezo wa marudiano kuchezwa siku tatu baadae Algeria 17 Novemba, 2015.
Kikosi cha Stars chini ya...
9 years ago
StarTV25 Aug
Tazama taswira za mechi ya kirafiki kati ya Simba na Mwadui ya Julio
BEKI JORAM MGEVEKE WA MWADUI FC AKIPAMBANA NA NAHODHA WA SIMBA, MUSSA HASSAN MGOSI KATIKA MECHI YA KIRAFIKI KWENYE UWANJA WA TAIFA ILIYOMALIZIKA KWA SARE YA BILA KUFUNGANA KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR. ANGALIA PICHA ZAIDI ZA ACTION…
10 years ago
MichuziKIINGILIO KATIKA MECHI YA NGAO YA JAMII KATI YA AZAM NA YANGA NI BUKU 5 TU!
Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ngao ya Jamii kuashiria uzinduzi wa msimu mpya wa Ligi kati ya Azam na Yanga itakayochezwa Jumapili (Septemba 14 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 5,000.
Mechi hiyo itaanza saa 10 kamili jioni, na kiingilio hicho cha sh. 5,000 ni kwa viti vya rangi ya kijani na bluu vitakavyochukua jumla ya watazamaji 36,000 katika uwanja huo wenye viti 57,558.
Viingilio vingine katika mechi hiyo ambayo itatumia tiketi za elektroniki ni sh. 10,000 kwa viti vya...
Mechi hiyo itaanza saa 10 kamili jioni, na kiingilio hicho cha sh. 5,000 ni kwa viti vya rangi ya kijani na bluu vitakavyochukua jumla ya watazamaji 36,000 katika uwanja huo wenye viti 57,558.
Viingilio vingine katika mechi hiyo ambayo itatumia tiketi za elektroniki ni sh. 10,000 kwa viti vya...
11 years ago
MichuziMAZUNGUMZO KUHUSU MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TWIGA STARS NA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA
Pichani Balozi Grace MUJUMA na maafisa wa Ubalozi Mr Jeswald Majuva na Mr Mogosi Munata wakizungumza na viongozi wa timu ya Twiga Stars Bw Ahmed Mgoyi kiongozi wa Msafara na Bw Boniface Wambura walipofika kwenye Ofisi Za Ubalozi wa TANZANIA Lusaka Zambia kabla ya pambano la mpira litakalofanyika Leo Ijumaa tarehe 14.2.2014 kwenye Uwanja wa Nkoloma uliopo jijini Lusaka.mpambano huo unategemewa kuwa mkali kwani pande zote zimeonyesha nia ya kuibuka na ushindi.
10 years ago
GPLTASWIRA ZA VURUGU ZA MASHABIKI WAKATI WA MECHI YA NUSU FAINALI AFCON KATI YA GHANA NA EQUATORIAL GUINEA
Helkopta ya polisi ikijaribu kutuliza ghasia wakati wa mechi kati ya Ghana na wenyeji Equatorial Guinea jana. Wachezaji wa Ghana wakitolewa uwanjani chini ya ulinzi mkali baada ya vurugu kutokea.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10