Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MECHI YA MTANI JEMBE YAINGIZA MIL 422/-

Mechi ya Nani Mtani Jembe kati ya Yanga na Simba iliyochezwa juzi (Desemba 21 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 imeingiza sh. 422,611,000. Mapato hayo ni kutokana na washabiki 52,589 waliokata tiketi kushuhudia mechi hiyo kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 7,000, sh. 10,000, sh. 15,000, sh. 20,000 na sh. 40,000. Kiingilio cha sh. 5,000 ndicho kilichovutia watazamaji wengi ambapo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MECHI YA NANI MTANI JEMBE

Mashabiki wa Yanga wakishangilia. Haruna Shamte akiambaa na mpira. Uhuru Selemani…

 

11 years ago

GPL

LIVE MECHI YA MTANI JEMBE: SIMBA 2 - 0 YANGA

Simba line up: Ivo Mapunda, Haruna Shamte, Issa Rashid, Joseph Owino, Donald Musoti, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Henry Joseph, Amisi Tambwe, Said Hamis na Awadh Juma. Yanga line up: Juma Kaseja - 29,Mbuyu Twite - 6 ,David Luhende - 3,Nadir Haroub "Cannavaro" - 23(C),Kelvin Yondani "Cotton" - 5, Athuman Idd " Chuji" - 24, Mrisho Ngassa - 17, Frank Domayo - 18, Didier Kavumbagu - 7, Hamis Kiiza - 20, Haruna Niyonzima - 8

...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yajivunia msisimko mechi Nani Mtani Jembe

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) iliyoratibu kampeni ya Nani Mtani Jembe iliyoanza Oktoba 6 na kuhitimishwa juzi kwa mechi ya Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

Simba yaifunga ya 5-4 katika mechi ya nani mtani jembe dubai

Kikosi cha Simba kimetoka kidedea kwa bao 5-4 kwenye match ya watani wa jadi Yanga katika mechi ya Nani Mtani Jembe huko Dubai.Mpambano huo uliokuwa mkali sana ulianza kwa Yanga kupata penalty 2 kwa mpigi lakini moja iliokolewa na goal keeper na nahodha wa Simba Ali Yusuf. Magoli ya Simba yalifungwa na Matama Chesama (DJ Tama) 3, Tariq Mbarak 1,na Thani 1.magoli ya Yanga yalifungwa Yunus 2, Waleed 1, na Kulwa 1.Yanga imeendelea kuwa mteja wa Simba Sports club hadi huko Dubai. Kikosi cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mechi ya Watani yaingiza mil. 423/-

MECHI ya watani wa jadi, Simba na Yanga, iliyochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam kuhitimisha siku 75 za kampeni ya Nani Mtani Jembe, imeingiza kiasi cha...

 

11 years ago

GPL

MECHI YA AZAM, SIMBA YAINGIZA MIL 26/-

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Azam na Simba iliyochezwa jana (Machi 30 mwaka huu) Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam imeingiza sh. 26,455,000. Watazamaji 4,741 walikata tiketi kushuhudia pambano hilo ambapo Azam iliibuka na ushindi wa mabao 2-1. Viingilio vilikuwa sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000. Mgawanyo kwa mapato ulikuwa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) sh. 4,035,508.47, gharama za kuchapa tiketi sh....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani