MECK SADICK:MAITI ZOTE ZINAZOSABABISHWA NA UGONJWA WA KIPINDUPINDU ZITAZIKWA NA SERIKALI
![](http://img.youtube.com/vi/pnygTpkW66w/default.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL11 Nov
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-v_GeVy13tGw/VTui1IksweI/AAAAAAAHTNo/LUJSg1tVW_o/s72-c/1.jpg)
MECK SADICK :VYANDARUA VITUMIKE KWA MATUMIZI YALIYOKUSUDIWA SIO KUFUGIA KUKU
SERIKALI imeitaka jamii kutumia vyandarua kwa malengo yaliyokusudiwa na sio vyandarua hivyo vitumike kwa ajili ya kufugia Kuku au kuvulia Samaki.
Hayo yamesemwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick wakati wa maadhimisho ya siku ya Malaria Duniani ambayo hufanyika Aprili 25 kila mwaka.
Sadick amesema wafadhili mbalimbali wamekuwa wakiweka nguvu katika kupambana na Malaria hivyo ni wajibu...
9 years ago
Dewji Blog04 Jan
Serikali yatoa taarifa ya mwenendo wa ugonjwa wa kipindupindu nchini
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla akitoa tamko kwa umma, kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa kipindupindu katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Pichani chini kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu katika Wizara ya Afya (Kaimu Mkurugenzi), Michael John.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla ametoa tamko kwa umma,...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-t8qHi__IUTc/VZf7YYzZmnI/AAAAAAAHm34/wwc2YfvC6CQ/s72-c/4.jpg)
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. SAID MECK SADICK ASHIRIKI KAMPENI YA MEDIA CAR WASH FOR CANCER LEADERS CLUB LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-t8qHi__IUTc/VZf7YYzZmnI/AAAAAAAHm34/wwc2YfvC6CQ/s640/4.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Said Meck Sadick akizindua kampeni ya kuosha Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuchangia Fedha kwa waandishi wa Habari ambao wanamatatizo ya Kiafya ikiwemo Saratani ( MEDIA CAR WASH FOR CANCER).
![](http://1.bp.blogspot.com/-Na2aQTai9J8/VZfsA9XpRbI/AAAAAAAC8QU/_oOa9fahogQ/s640/1.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PflB1vDnTuc/VnjzLG10PHI/AAAAAAAINzM/06Q-IcujenE/s72-c/USAFI.jpg)
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
10 years ago
VijimamboMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. MECK SADICK AONGOZA ZOEZI LA KUOSHA MAGARI LA MEDIA CAR WASH FOR CANCER LEADERS CLUB LEO
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/9.jpg)
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. MECK SADICK AONGOZA ZOEZI LA KUOSHA MAGARI LA MEDIA CAR WASH FOR CANCER, LEADERS CLUB LEO
10 years ago
GPL08 May
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/070615_cholera_THUMB_LARGE.jpg?width=650)
UGONJWA WA KIPINDUPINDU