Meli ya Korea Kusini: Abiria waelezea
Watu walionusurika katika ajali ya meli ya Korea Kusini wameelezea kusikia mshindo mzito wakati ikizama
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili19 Jun
Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?
5 years ago
BBCSwahili03 May
Korea Kaskazini na Korea Kusini zafyatuliana risasi baada ya Kim Jong-un kuonekana hadharani
9 years ago
BBCSwahili22 Aug
Korea Kaskazini yaitishia Korea Kusini
11 years ago
BBCSwahili11 Mar
Meli ya Korea Kaskazini yanaswa Libya
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Usafiri wa meli waendelea kutesa abiria Mwanza, Kagera
9 years ago
Bongo516 Dec
Picha: Abiria 300 wanusurika kifo baada ya meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba kuungua moto
![20151216043112](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151216043112-300x194.jpg)
Abiria waliokuwa wamependa meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kwenda Pemba wamenusurika kifo baada ya meli hiyo kuungua moto.
Abiria waliokuwa kwenye meli ya Royal wakijiokoa
Tukio hilo limetokea asubuhi Jumatano hii.
Hata hivyo meli ya Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kwenda Unguja iliikuta meli hiyo njia na kusaidia shughuli za uzimaji moto na uokozi wa abiria waliokuwa kwenye meli hiyo.
Meli hiyo ilikuwa na abiria 300 wakiwemo watoto 70.
Meli ya Serengeti ikiivuta MV Royal
11 years ago
BBCSwahili23 Jun
Algeria imelaza Korea Kusini 4-2
10 years ago
BBCSwahili02 Sep
Korea ya Kusini yawashikilia wamrekani
10 years ago
Vijimambo19 Nov
Magereza ya Korea Kusini yanatisha
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/11/19/141119033839_un_north_korea_640x360_v_nocredit.jpg)
Kamati hiyo imepitisha hoja ya kufanywa uchunguzi dhidi ya tuhuma za uhalifu dhidi ya binaadamu nchini Korea Kaskazini.
Ripoti ya tume ya uchunguzi ya umoja huo ilitangaza mapema mwaka huu kwamba kuna ukiukaji mkubwa wa haki za binaadamu Korea kaskazini kushinda muda, uzito na...