MEMBE AFUKUZWA CCM
![](https://1.bp.blogspot.com/-LXQV7xrGDUY/XlkmyrboPkI/AAAAAAALf6M/xB4uQ_8dtdAoicveNoK1EQ85-Q0BiKHLACLcBGAsYHQ/s72-c/Benard.jpg)
WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amevuliwa uanachama pamoja na madaraka na kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini
Hayo ameyasema, Katibu mwenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole leo Februari 28, 2020 wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi ndogo za Chama cha Mapinduzi (CCM),Lumumba jijini Dar es Salaam, wakati Membe akivuliwa uanachama, katibu mkuu wa zamani wa chama cha CCM, Abdulrahman Kinana amepewa onyo na kutokugombea nafasi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania20 Apr
Mzee Moyo afukuzwa CCM
NA SARAH MOSSI, ZANZIBAR
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemfukuza uanachama mmoja wa waasisi wa chama hicho Visiwani, Mzee Hassan Nassor Moyo.
Hatua hiyo ilitangazwa jana na Katibu wa CCM Mkoa wa Magharibi Unguja, Aziza Iddi Mapuri katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari mjini hapa.
Mapuri alisema Mzee Moyo anadaiwa kukisaliti chama hicho kwa kukiuka maadili na kutoa matamshi yasiyokubaliana na sera za chama chao.
Alisema Mzee Moyo alitumia majukwaa ya siasa katika mikutano...
10 years ago
Habarileo20 Apr
Nassor Moyo afukuzwa CCM
MWANASIASA mkongwe na kada wa CCM aliyepata kushika nyadhifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na uwaziri, Mzee Hassan Nassor Moyo amefukuzwa uanachama wa chama hicho ambacho yeye ni mmoja wa waasisi wake, akiwa mwanachama namba 7.
10 years ago
Vijimambo20 Apr
Zanzibar yatibuka.CUF wafurushwa kwa mabomu, Nassoro Moyo afukuzwa CCM.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Idd-20April2015.jpg)
Jeshi la Polisi Zanzibar, limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) waliokuwa wakikaidi amri ya kutotoka wilaya moja kwenda nyingine kuhudhuria mkutano wa hadhara. Inakumbukwa kwamba baada ya wafuasi wa CUF kushambuliwa mwishoni wa mwezi uliopita wakitoka katika mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, polisi waliitisha mkutano nabaadhi ya vyama vya siasa na...
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Membe aichoka CCM
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amekikejeli Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba kinaufanya uchaguzi wa rais kama uchaguzi wa kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
Membe aichokonoa CCM
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe amezindua Filamu ya I Love, mkoani hapa, huku akitumia jukwaa hilo kujinadi kisiasa kwa madai ya kupata Baraka za...
5 years ago
The Citizen Daily29 Feb
'It's all about the Presdency', Membe says after expulsion from CCM
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
CCM yawafunga Lowassa, Membe
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemfunga Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa na makada wenzake watano kwa kuwapa onyo kali na kuzuiwa kugombea uongozi wowote ndani ya chama kwa muda wa mwaka...
11 years ago
Mwananchi18 Jul
Lowassa, Membe waitesa CCM
11 years ago
Daily News17 Feb
Membe: Why I appeared before CCM ethics team
Daily News
Daily News
A MEMBER of the CCM National Executive Committee, Mr Bernard Membe, has urged his party to declare its candidate for the Union presidential race by December this year. Mr Membe told reporters on Sunday that the party's Ethics Sub-Committee, which ...