Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Membe aichokonoa CCM

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe amezindua Filamu ya I Love, mkoani hapa, huku akitumia  jukwaa hilo kujinadi kisiasa kwa madai ya kupata Baraka za...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Membe aichoka CCM

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amekikejeli Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba kinaufanya uchaguzi wa rais kama uchaguzi wa kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani...

 

5 years ago

Michuzi

MEMBE AFUKUZWA CCM


WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amevuliwa uanachama pamoja na madaraka na  kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini 
Hayo ameyasema, Katibu mwenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole leo Februari 28, 2020 wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi ndogo za Chama cha Mapinduzi (CCM),Lumumba jijini Dar es Salaam, wakati Membe akivuliwa uanachama, katibu mkuu wa zamani wa chama cha CCM, Abdulrahman Kinana amepewa onyo na kutokugombea  nafasi...

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa, Membe waitesa CCM

Vigogo sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ambao walipewa onyo kali na kuwekwa chini ya uangalizi kwa miezi 12 wamezidi kukitesa chama hicho, na katika kuwadhibiti, kimetoa maagizo kwa Kamati ya Usalama na Maadili kufuatilia nyendo zao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yawafunga Lowassa, Membe

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemfunga Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa na makada wenzake watano kwa kuwapa onyo kali na kuzuiwa kugombea uongozi wowote ndani ya chama kwa muda wa mwaka...

 

5 years ago

The Citizen Daily

'It's all about the Presdency', Membe says after expulsion from CCM

'It's all about the Presdency', Membe says after expulsion from CCM  The Citizen Daily

 

11 years ago

Daily News

Membe says violation of CCM ethics is wrong


Daily News
Membe says violation of CCM ethics is wrong
Daily News
A FEW days after Chama cha Mapinduzi (CCM) Central Committee (CC) yellow-carded six bigwigs over early campaigns and violation of party regulations, one of the warned members, Mr Bernard Membe on Thursady broke his silence. He said that the CC's ...

 

5 years ago

The Citizen Daily

Bernard Membe to respond after he is expelled from CCM

Bernard Membe to respond after he is expelled from CCM  The Citizen DailyCCM expels Tanzanian ex-minister Bernard Membe  The East AfricanCCM expels former Foreign Minister Membe from party  The East AfricanView Full coverage on Google News

 

11 years ago

Daily News

Membe: Why I appeared before CCM ethics team


Daily News
Membe: Why I appeared before CCM ethics team
Daily News
A MEMBER of the CCM National Executive Committee, Mr Bernard Membe, has urged his party to declare its candidate for the Union presidential race by December this year. Mr Membe told reporters on Sunday that the party's Ethics Sub-Committee, which ...

 

9 years ago

Mwananchi

Membe afunguka kuanguka urais CCM

Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amezungumzia kinyang’anyiro cha urais ndani ya CCM, akifananisha kushindwa kwake na kifo cha ghafla.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani