Membe: Nikiwa rais wasanii wataenda kujifunza nje
JENNIFER ULLEMBO NA MWALI IBRAHIM
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema kama atachaguliwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atahakikisha anasimamia haki za wasanii ipasavyo.
Membe alitoa kauli hiyo mkoani Lindi wakati akitangaza nia ya kuwania urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.
“Nitahakikisha naweka mipango imara katika kusimamia kazi za wasanii wote kunufaika na hakimiliki zao,” alisema.
Pia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Jun
Membe: Nikiwa Rais Nyerere atafurahi
10 years ago
Habarileo19 Jun
Membe: Rais asiyefahamika nje atatupotezea muda
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema hivi sasa nchi haihitaji Rais asiyetambulika nchi za nje kwani atapoteza muda mwingi kujitambulisha badala ya kushughulikia masuala mbalimbali ya wananchi wake.
9 years ago
Bongo526 Aug
Nikiwa mbunge msinitegemee sana kuongelea matatizo ya wasanii — Professor Jay
10 years ago
Habarileo22 Nov
Membe ahimiza vijana wengi kujifunza mafuta na gesi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema ni jukumu la Serikali kuhakikisha nchi inapoelekea katika uchumi wa mafuta na gesi inasomesha vijana wengi zaidi katika sekta hiyo.
10 years ago
Bongo506 Feb
AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje
10 years ago
Habarileo28 Jun
Jaji Ramadhani: Nitapiga kinanda hata nikiwa rais
JAJI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Augustino Ramadhani (70), amerejesha fomu ya kuomba kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM na kusema ataendelea kumtumikia Mungu, hata akiteuliwa na baadaye akichaguliwa kuwa rais.
10 years ago
Mwananchi15 May
Membe aaga Mambo ya Nje
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
Waziri Membe akutana na wasanii wa filamu mkoa wa Morogoro
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na wasanii wa tasnia ya filamu mkoa wa Morogoro jana, wakati alipokuwa mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo wanaCCM zaidi ya 950 walimdhamini. (Picha zote na John Badi).
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwa katika picha...
9 years ago
VijimamboWAZIRI MEMBE AAGANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE