Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Membe: Rais asiyefahamika nje atatupotezea muda

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema hivi sasa nchi haihitaji Rais asiyetambulika nchi za nje kwani atapoteza muda mwingi kujitambulisha badala ya kushughulikia masuala mbalimbali ya wananchi wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Membe: Nikiwa rais wasanii wataenda kujifunza nje

Bernard-MembeJENNIFER ULLEMBO NA MWALI IBRAHIM
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema kama atachaguliwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atahakikisha anasimamia haki za wasanii ipasavyo.
Membe alitoa kauli hiyo mkoani Lindi wakati akitangaza nia ya kuwania urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.
“Nitahakikisha naweka mipango imara katika kusimamia kazi za wasanii wote kunufaika na hakimiliki zao,” alisema.
Pia...

 

10 years ago

Mwananchi

Membe aaga Mambo ya Nje

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe jana aliwaaga wafanyakazi wa wizara hiyo akisema hatafanya kazi tena wizarani hapo katika uongozi wa awamu ya tano.

 

10 years ago

Michuzi

Membe Amuaga Balozi wa Australia Nchini Tanzania aliyemaliza muda wake

Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa juzi ameagana na Mhe.Geoffrey Tooth Balozi wa Australia nchini Tanzania ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi nchini. Katika mazungumzo yao. Waziri Membe alimueleza Balozi Tooth kuwa wakati wa kipindi chake cha uwakilishi, uhusiano baina ya nchi hizi mbili umeimarika. Mhe. Membe pia amemshukuiru Balozi Tooth kwa ushirikiano mzuri alioutoa katika kipindi chote na kusisitiza kuwa Tanzania ni nyumbani kwake...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AMUAGA RASMI BALOZI WA HISPANIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza mbele ya Mabalazi na Wageni waalikwa wakati wa hafla fupi ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Wizara kwa ajili ya kumuaga rasmi Balozi wa Hispania aliyemaliza muda wa kazi nchini, Mhe. Luis Manuel Cuesta Civis.  Katika hotuba yake Mhe. Membe alimshukuru Balozi Luis kwa mchango wake wa  kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Hispania. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AMUAGA RASMI BALOZI WA SAUDI ARABIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa hotuba wakati wa hafla ya Chakula cha Mchana iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje kwa ajili ya kumuaga   Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini, Mhe. Hani Abdullah Mominah  ambaye amemaliza muda wake wa kazi. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro tarehe 18 Februari, 2015Balozi Hani naye akitoa hotuba mbele ya wageni waalikwaMhe. Waziri Membe akimkabidhi zawadi ya picha ya kuchora...

 

10 years ago

Vijimambo

RE: WAZIRI MEMBE AMUAGA RASMI BALOZI WA SAUDI ARABIA ALIYEMALIZA MUDA WA KAZI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa hotuba wakati wa hafla ya Chakula cha Mchana iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje kwa ajili ya kumuaga Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini, Mhe. Hani Abdullah Mominah ambaye amemaliza muda wake wa kazi. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro tarehe 18 Februari, 2015 Balozi Hani naye akitoa hotuba mbele ya wageni waalikwa Mhe. Waziri Membe akimkabidhi zawadi ya picha ya...

 

9 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AAGANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akifungua hafla ya kumuaga Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe iliyoandaliwa na watumishi wa Wizara hiyo na kufanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius NyerereBaadhi ya watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa waliohudhuria hafla hiyo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Hassan...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANAYAKAZI WA MAMBO YA NJE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.)-katikati) kwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule (wa tatu kutoka kushoto) na viongozi wengine wakiimba wimbo wa "Solidarity" wakati wa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Mei, 2014. Mhe. Membe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani