Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Meneja atumbuliwa jipu gesti!

IMG_0092

Akiwa haamini kilichotokea baada ya fumanizi hilo.

Stori: Na Waandishi Wetu, Pwani
SASA kinachoonekana ni tumbuatumbua majipu iliyoanzishwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ dhidi ya mafisadi imeenea kila kona ya nchi, mtu akiumbuliwa katika uovu wowote, wanasema ametumbiliwa jipu na ndivyo ilivyomtokea Salim ambaye ni meneja wa usimamizi wa mafuta kwenye ‘sheli’ zilizopo mkoani Pwani.

Hussein amejitambulisha kwa kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ cha Global Publishers kuwa yeye ni...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MFANYABIASHARA KARIAKOO AKUTWA GESTI NA SHEMEJIYE GESTI

MFANYABIASHARA maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, aliyefahamika kwa jina moja la Devi, hivi karibuni alipatwa na soni ya aina yake baada ya kukutwa katika nyumba ya kulala wageni akiwa na mke wa rafiki yake wa karibu. Mfanyabiashara maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Devi baada ya kufumaniwa na mke wa rafikiye. Mtoa habari makini aliliambia gazeti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto apasua jipu

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, amesema hana chuki na yeyote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Zitto, alisema baadhi ya watu wanafikiri ana chuki na viongozi wenzake...

 

10 years ago

Mwananchi

Ruge apasua jipu

Mkurugenzi wa Kituo cha Vipaji Tanzania (THT), Ruge Mutahaba amesema taasisi hiyo ni sehemu ya mikakati ya kukuza vipaji vya wasanii, na kamwe wanafunzi wake hawahusiani na mambo binafsi yanayowahusu viongozi.

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA FLORA JIPU PWAA!

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally/Risasi Mchanganyiko
BAADA ya utata wa uhalali wa baba wa mtoto wa Mwimba Injili maarufu Bongo, Flora Mbasha kutawala kwenye magazeti mbalimbali na mitandao ya kijamii, hatimaye jipu limepasuka baada ya baba mdogo wa Flora, aliyejitambulisha kwa jina moja la Kisekwa kufunguka kwamba mtoto huyo ni damu halali ya Mbasha, Risasi Mchanganyiko lina kauli yake kuthibitisha hilo.  Mwimba Injili...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli atumbua jipu TFF

KASI ya utendaji wa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli imechukua sura mpya baada ya Mamlaka ya Kodi ya Mapato nchini (TRA) Mkoa wa Ilala kutia mguu Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). TRA imezuia fedha kwenye akaunti zote za TFF ikiwa ni madai ya kulipwa kodi inayofikia Sh bilioni 1.6 kuanzia mwaka 2010 hadi 2013.

 

10 years ago

GPL

MKE MTARAJIWA APASUA JIPU

Erick evarist
KWELI! Baada ya mitandao mbalimbali kuripoti habari zinazokinzana juu ya tukio la bwana harusi mtarajiwa aliyetajwa kwa jina la Stephano kunaswa kwenye tukio la ujambazi muda mfupi baada ya kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake, Happy Merere, bi. Harusi huyo mtarajiwa ameibuka na kuanika ukweli wa mambo, Risasi Jumamosi lina full stori. Stephano akiwa na mpenzi wake mpenzi wake, Happy Merere baada ya kumvisha pete...

 

10 years ago

Mwananchi

Lilian Internet apasua jipu

Mnenguaji mahiri na mkongwe nchini, Lilian Internet(35), amesema vijana wengi walio katika fani hiyo wanajihusisha na matumizi ya dawa za kulevya.

 

10 years ago

Vijimambo

Kizungumkuti kura ya maoni:AG kupasua jipu

Tume ya Uchaguzi yaitisha kikao kuijadiliMsimamo rasmi wa serikali kuhusu kura ya maoni kuamua ama kuikubali au kuikataa katiba inayopendekezwa, iwapo itapigwa kabla au baada ya uchaguzi mkuu ujao, unatarajiwa kutangazwa leo.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, aliliambia NIPASHE jana kuwa ataweka bayana msimamo wa serikali leo ili kuzima mkanganyiko uliojitokeza kuhusiana na lini kura hiyo itapigwa.

Mkanganyiko huo unafuatia Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif apasua jipu kuhusu maendeleo

622

Mbunge wa Jimbo la Kitope ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Mabomba ya kusambazia maji safi Diwani ya Wadi ya Upenja Bibi Asha Abdulla Mussa kwa ya Kijiji cha kilombero Mkoa wa Kaskazini Unguja.Kati kati yao ni Mke wa Balozi Seif Mama Asha Suleiman Iddi.

Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi alisema licha ya juhudi zinazochukuliwa na viongozi katika kuchangia nguvu za kukabiliana na matatizo mbali mbali yanayowakabili wananchi katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani