Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO WA FLORA JIPU PWAA!

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally/Risasi Mchanganyiko
BAADA ya utata wa uhalali wa baba wa mtoto wa Mwimba Injili maarufu Bongo, Flora Mbasha kutawala kwenye magazeti mbalimbali na mitandao ya kijamii, hatimaye jipu limepasuka baada ya baba mdogo wa Flora, aliyejitambulisha kwa jina moja la Kisekwa kufunguka kwamba mtoto huyo ni damu halali ya Mbasha, Risasi Mchanganyiko lina kauli yake kuthibitisha hilo.  Mwimba Injili...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MTOTO WA WA FLORA MBASHA AIBUA MAZITO

Mwimba Injili nyota nchini, Flora Henry Mayalla Mbasha akiwa na mtoto wake wa kike baada ya kujifungua.
MSHTUKO KWANZABaadhi ya mitandao ya kijamii ilitundika picha ya Flora akiwa kitandani hospitalini na kichanga chake huku watu wakitupia maneno yenye kuonesha mshtuko, kama vile:“He! Kwani Flora alikuwa na mimba? Mbona alikuwa kawaida sana?”“Wanawake wengine wameumbwa hivyo, matumbo yao hayawi makubwa. Nampa hongera kwa kujifungua.”“He! Jamani! Dada Flora kajifungua kweli au ni igizo? Maana...

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA FLORA MBASHA AIBUA MAZITO

Stori:MWandishi wetu HAKUNA dogo! Siku tano zimekatika baada ya mwimba Injili nyota nchini, Flora Henry Mayalla Mbasha kujifungua mtoto wa kike huku kichanga hicho kikiibua mazito kwenye mitandao ya kijamii, Ijumaa ‘Kubwa’ linakupa zaidi.
Kwa mujibu wa chanzo, Flora alijifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji Jumanne iliyopita kwenye hospitali moja iliyopo jijini Dar es Salaam. Mwimba Injili nyota nchini,...

 

10 years ago

Mtanzania

Mbasha: Flora anaujua ukweli wa mtoto

MBASHA3gwajima2Veronica Romwald na Mwajuma Mazao, Dar es Salaam
HATIMAYE mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Emmanuel Mbasha, ameibuka na kuweka wazi suala la mgogoro wa mtoto na mkewe Flora Mbasha.
Hatua hiyo imekuja miezi saba tangu wawili hao walipoingia katika mgogoro wa ndoa yao hali iliyosababisha Mbasha kufikishwa mahakamani kwa kosa la ubakaji.
Hivi karibuni, picha za mtoto mchanga zilisambazwa katika mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni wa Flora aliyezaa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la...

 

11 years ago

GPL

FLORA: MTOTO KAVUNJA URAFIKI WETU NA NISHA

Na Gladness Mallya STAA wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi amefunguka kuwa ubize wa kulea mwanaye ndiyo umemfanya avunje urafiki na shosti wake, Salma Jabu ‘Nisha’. Flora Mvungi akiwa na shosti wake, Salma Jabu ‘Nisha’. Flora alifunguka hayo juzikati baada ya paparazi wetu kumuuliza juu ya taarifa zinazodai kuwa wawili hao wamepishana kauli na kila mmoja kuishi kivyake.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

UTATA MTOTO WA FLORA... FAMILIA YAMWEKA KIKAANGONI...MWENYEWE AJIKAANGA

Mwimba Injili maarufu Bongo, Flora Mbasha akiwa amejifungua kitoto kichanga Hospitalini.Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na familia ya Mbasha, familia hiyo ilikutana Jumamosi iliyopita nyumbani kwa Ima, Tabata-Kimanga, Dar ili kulizungumza suala hilo na kuona kama wanaweza kukubaliana kukilea kichanga hicho endapo ni damu yao.“Ndugu walitofautiana, kila mtu alikuwa na mtazamo wake hivyo wakaona bora wakutane na kutafuta jibu la pamoja kama wanalea au hawalei,” kilisema chanzo...

 

10 years ago

Bongo5

H.Baba na mke wake Flora Mvungi wanatarajia kupata mtoto wa pili

H.Baba amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili. Akizungumza na 255 ya XXL leo, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake. “Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa tena,” alisema. “Nikwambie kitu kimoja mimba […]

 

10 years ago

Vijimambo

MCHUNGAJI GWAJIMA ADAI MTOTO ALIEJIFUNGUA FLORA MBASHA SIYO WAKE


Huyu ndiyo mtoto alie jifungua Flora Mbasha, mchungaji Gwajima aruka kimanga na kukana kuwa mtoto huyu siyo wake na kusema kuwa (It doesn't hold water) akiwa na maana haina mashiko. Mbasha nae alivyoulizwa juu ya mtoto huyu majibu yake aliyajibu kwa kutuma ujumbe wa wimbo huu wa injili hadi sasa watu wanashindwa kupata ukweli  wa nani baba wa mtoto huyu lakini mwenye majibu ya  maswali yote ni mwenyewe Flora Mbasha. Jitiririshe na wimbo wa Emmanuel Mbasha hapa chini kama majibu ya wale wote...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wakati Wengine Wanakula Ujana Flora Mvungi Anatarajia Kujifungua Mtoto wa Pili Hivi Karibuni!

Mwigizaji wa filamu  Flora Mvungi, ambae ni mke wa mwanamziki  H.Baba anatarajia kujifungua mtoto wa pili hivi karibuni ikiwa ni moja ya mafanikio ya ndoa  yao kwa mwaka jana.

H baba amabe ndio mumeo  amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili.

Akizungumza na 255 ya XXL jana, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake.

“Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa...

 

9 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA FLORA (MAPENDO YA FLORA)

TUNAPOADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KUMBUKUMBU

YA KIFO CHA MPENDWA WETU

FLORA FLOWIN MKANULA

(1993 – 2013)

___________________________________


Tunaona ni vema kumshukuru MUNGU hasa kwa mapendo aliyotushirikisha kupitia maisha ya FLORA, nasi tukabakiwa kwa namna ya pekee tunamuenzi kwa matukio mbalimbali hasa kupitia Misa Takatifu katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Siku ya tarehe 10/09/2015, saa 12.30 asubuhi.  Baada ya hapo tunazuru makaburi ya Kinondoni.Sote tuzidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani