Mengi: Tajeni wala rushwa kwa majina
Mwenyekiti Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (MOAT), Dk Reginald Mengi amesema vyombo vya habari vinapaswa kuwataja kwa majina watu wanaojihusisha na vitendo vya rushwa katika taasisi za umma, badala ya kutoa tuhuma za jumla.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Takukuru yatangaza majina 287 ya wala rushwa
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/-wqSV5zmrDQ/default.jpg)
9 years ago
Mtanzania26 Aug
Magufuli: Nitapambana na wala rushwa
Na Bakari Kimwanga, Rukwa
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali ya awamu ya tano atahakikisha anapambana na watendaji wala rushwa serikalini.
Amesema watendaji hao ndiyo wamekuwa wakikwamisha juhudi za Serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi hali inayosababisha malalamiko ya wananchi.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa nyakati tofauti alipohutubia wananchi katika mikutano ya kampeni katika mikoa ya Katavi na Rukwa.
Dk....
10 years ago
Habarileo11 Sep
Wabunge: Wala rushwa wanyongwe
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamesema wala rushwa pamoja na wahujumu uchumi adhabu yao iwe ni kunyongwa. Wametaka Katiba mpya inayoenda kuandikwa itamke hivyo ili kufanya viongozi wa kisiasa kuogopa kama ilivyo kwenye nchi nyingine.
10 years ago
Habarileo20 Mar
Kinana: Wakataeni mafisadi, wala rushwa
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana awewataka Watanzania kuwakataa viongozi mafisadi, wezi na wala rushwa bila kujali chama wanachotokea.
11 years ago
Mwananchi06 Jan
‘Trafiki wala rushwa Pwani kukiona’
9 years ago
Habarileo30 Dec
Wala rushwa umeme vijijini kukamatwa
WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ameuagiza uongozi wa mkoa wa Kagera,Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (Takukuru) na vyombo vya dola, kuwashughulikia wala rushwa katika mradi ya umeme vijijini.
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Trafiki wala rushwa kukiona watadhibitiwa
10 years ago
Habarileo29 May
Watendaji wala rushwa wanawaponza waadilifu
MBUNGE wa Mbarali, Modestus Kilufi (CCM), amesema watendaji wala rushwa na mafisadi wanasababisha mawaziri waadilifu walaumiwe bila sababu.