Takukuru yatangaza majina 287 ya wala rushwa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imetangaza katika tovuti yake majina 287 ya washtakiwa waliopatikana na hatia katika kesi za rushwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Apr
CCM isaidie Takukuru kukamata wala rushwa
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Mengi: Tajeni wala rushwa kwa majina
10 years ago
Habarileo11 Sep
Wabunge: Wala rushwa wanyongwe
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamesema wala rushwa pamoja na wahujumu uchumi adhabu yao iwe ni kunyongwa. Wametaka Katiba mpya inayoenda kuandikwa itamke hivyo ili kufanya viongozi wa kisiasa kuogopa kama ilivyo kwenye nchi nyingine.
9 years ago
Mtanzania26 Aug
Magufuli: Nitapambana na wala rushwa
Na Bakari Kimwanga, Rukwa
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali ya awamu ya tano atahakikisha anapambana na watendaji wala rushwa serikalini.
Amesema watendaji hao ndiyo wamekuwa wakikwamisha juhudi za Serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi hali inayosababisha malalamiko ya wananchi.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa nyakati tofauti alipohutubia wananchi katika mikutano ya kampeni katika mikoa ya Katavi na Rukwa.
Dk....
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Wj8DUpBCRUU/default.jpg)
9 years ago
Habarileo30 Dec
Wala rushwa umeme vijijini kukamatwa
WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ameuagiza uongozi wa mkoa wa Kagera,Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (Takukuru) na vyombo vya dola, kuwashughulikia wala rushwa katika mradi ya umeme vijijini.
10 years ago
Habarileo29 May
Watendaji wala rushwa wanawaponza waadilifu
MBUNGE wa Mbarali, Modestus Kilufi (CCM), amesema watendaji wala rushwa na mafisadi wanasababisha mawaziri waadilifu walaumiwe bila sababu.
10 years ago
Habarileo05 May
Majaji wafunzwa ‘kufunga’ wala rushwa
BAADA ya kupoteza kesi nyingi inazopeleka mahakamani, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeshtuka na kuleta wataalamu kutoka nje ya nchi kuwafundisha mahakimu, majaji, waendesha mashitaka na wapelelezi wa kesi za rushwa juu ya namna ya kuwasilisha ushahidi ukiwemo ushahidi wa mazingira ambao ni muhimu katika kesi za rushwa.
10 years ago
Habarileo16 Oct
Sumaye- Wala rushwa wengi matajiri
WAZIRI Mkuu wa zamani Frederick Sumaye, ameendelea kuelezea jinsi anavyoumizwa na suala la rushwa katika jamii, huku akisema wenye uwezo mkubwa kifedha ndio tatizo, hivyo wasifumbiwe macho.