CCM isaidie Takukuru kukamata wala rushwa
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula yuko katika ziara ya kichama mkoani Dar es Salaam. Moja ya ajenda ya ziara hiyo ni kukemea rushwa ndani ya chama hicho tawala. Kwa msisitizo alitamka kuwa yeyote anayetafuta uongozi kwa kutumia fedha, kununua wanachama ili apigiwe kura au apitishwe, akiona jina lake halikutoka ajue limemezwa na kanuni na sheria za uchaguzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Takukuru yatangaza majina 287 ya wala rushwa
10 years ago
Mwananchi23 Apr
Takukuru: CCM ikitaka tutaiondolea rushwa
10 years ago
Dewji Blog21 Sep
CCM kuanza kuwatimua viongozi wavivu, wasio na kazi na wala rushwa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo alisema kua CCM itaanza kuwafukuza viongozi wabovu na wala rushwa. Kinana yupo mkoani Pwani kuimarisha uhai wa chama, kuhimiza, na kusukuma utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia kaaikia wananchi kuhusu tika mkutano wa hadhara Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo aliwananga wapinzania kwamba wanahangaika na maandamano...
10 years ago
GPLCCM KUANZA KUWATIMUA VIONGOZI WAVIVU,WASIO NA KAZI NA WALA RUSHWA
10 years ago
Habarileo11 Sep
Wabunge: Wala rushwa wanyongwe
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamesema wala rushwa pamoja na wahujumu uchumi adhabu yao iwe ni kunyongwa. Wametaka Katiba mpya inayoenda kuandikwa itamke hivyo ili kufanya viongozi wa kisiasa kuogopa kama ilivyo kwenye nchi nyingine.
9 years ago
Mtanzania26 Aug
Magufuli: Nitapambana na wala rushwa
Na Bakari Kimwanga, Rukwa
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali ya awamu ya tano atahakikisha anapambana na watendaji wala rushwa serikalini.
Amesema watendaji hao ndiyo wamekuwa wakikwamisha juhudi za Serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi hali inayosababisha malalamiko ya wananchi.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa nyakati tofauti alipohutubia wananchi katika mikutano ya kampeni katika mikoa ya Katavi na Rukwa.
Dk....
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Wj8DUpBCRUU/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi06 Jan
‘Trafiki wala rushwa Pwani kukiona’
10 years ago
Habarileo29 May
Watendaji wala rushwa wanawaponza waadilifu
MBUNGE wa Mbarali, Modestus Kilufi (CCM), amesema watendaji wala rushwa na mafisadi wanasababisha mawaziri waadilifu walaumiwe bila sababu.