Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Takukuru: CCM ikitaka tutaiondolea rushwa

Dar es Salaam. Wakati viongozi wa CCM wanaendelea kupiga kelele bila ya kuchukua hatua dhidi ya vitendo vya rushwa wanavyodai vinafanywa na makada wanaotaka uongozi wa nchi, Takukuru iko tayari kukisaidia chama hicho kikongwe kupambana na uhalifu huo kama kitakuwa tayari kutoa ushirikiano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

CCM isaidie Takukuru kukamata wala rushwa

Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula yuko katika ziara ya kichama mkoani Dar es Salaam. Moja ya ajenda ya ziara hiyo ni kukemea rushwa ndani ya chama hicho tawala. Kwa msisitizo alitamka kuwa yeyote anayetafuta uongozi kwa kutumia fedha, kununua wanachama ili apigiwe kura au apitishwe, akiona jina lake halikutoka ajue limemezwa na kanuni na sheria za uchaguzi.

 

9 years ago

Raia Mwema

Ikitaka kukubalika CCM izaliwe upya

WIKI iliyopita nilisoma makala ya Jenerali Ulimwengu katika gazeti hili na nikaona ni vyema nianz

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Hoseah akiri Takukuru ‘kunuka’ rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imekiri kuwapo kwa baadhi ya watumishi wake wanaojihusisha na vitendo vya kupokea rushwa, hivyo kuchafua sifa ya taasisi hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu ahojiwa na Takukuru kwa rushwa

>Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Singida, inamhoji Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwa tuhuma za kukiuka Sheria ya Gharama za Uchaguzi na Sheria ya Kupambana na Rushwa namba 11 ya mwaka 2007.

 

10 years ago

Habarileo

Takukuru yaonya rushwa katika uchaguzi

WAKATI vyama vya siasa hapa nchini vikiendelea na mchakato wa kutafuta wanachama watakaowasimamisha kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, jamii imeaswa kuepuka kuchagua watu kwa ushawishi wa rushwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Takukuru kulipua watoa rushwa baada ya uchaguzi

Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) imesema itashughulikia kesi za viongozi waliojihusisha na rushwa wakati wa kura za maoni ndani vyama baada ya kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25.

 

10 years ago

Mwananchi

Takukuru yatangaza majina 287 ya wala rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imetangaza katika tovuti yake majina 287 ya washtakiwa waliopatikana na hatia katika kesi za rushwa.

 

9 years ago

StarTV

Mapambano Dhidi Ya Rushwa Takukuru yakabiliwa na changamoto ya mashahidi

 

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Mtwara imesema bado changamoto ya upatikanaji wa mashahidi katika kesi mbalimbali imeendelea kuwepo kutokana na mashahidi wengi kushindwa kujitokeza na wengine kubadilika kutokana na kuogopa vitisho kutoka kwa watuhumiwa.

Kutokana na changamoto hiyo kesi nyingi zinalazimika kufutwa na nyingine kubadilika.

Mkuu wa Taasisi  kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru wa Mkoa wa Mtwara Edson Makala  anasema Baadhi ya kesi zilalazimika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani