Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Message za mapenzi zilivyoyumbisha ndoa siku ya mkesha wa mwaka mpya Dar.. (+Audio)

Timu ya ‘Leo Tena‘ huwa ina mkusanyiko wa matukio mbalimbali ya mtaani… basi leo January 6 2016 ‘Hekaheka‘ ina stori ya mkasa wa mama mmoja ambaye siku ya mkesha wa mwaka mpya alishtukia ishu ya uhusiano wa chinichini kati ya rafiki yake na mumewe, hiyo ilikuwa baada ya kukuta message kwenye simu ya mumewe. Basi […]

The post Message za mapenzi zilivyoyumbisha ndoa siku ya mkesha wa mwaka mpya Dar.. (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MASHAUZI WAZIDI KUNOGESHA MKESHA WA MWAKA MPYA 2015 DAR LIVE

Mpiga gitaa la Solo wa Kundi la Mashauzi Classic,Jumanne Mohammed akilitandika gitaa kwa ustadi. Muimbaji wa Mashauzi Classic, Hasheem Mohammed…

 

9 years ago

Global Publishers

Shoo ya Utangulizi Mkesha wa Mwaka Mpya Dar Live noma sana!

bella dar live (2) Malaika Band wakikamua shoo ya utangulizi ndani ya Dar Live.bella dar live (4) Makamuzi yakiendeleabella dar live (6)….mpiga Drama akifanya yake.
bella dar live (11)….mpiga gita naye akitoa vionjo vyake.bella dar live (18)Nyomi waliofika Dar Live kushuhudia shoo ya kufunga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016bella dar live (21) bella dar live (25) bella dar live (33)Shabiki maarufu wa Yanga, Mama Tunu akicheza jukwaani wakati wa shoo hiyo.bella dar live (41) bella dar live (43)Mashabiki wakijiachia jukwaani
bella dar live (51) bella dar live (55) bella dar live (63)
bella dar live (66)
bella dar live (89)…ni full kijiachia kuukaribisha 2016.

PICHA NA DENIS MTIMA/GPL

 

9 years ago

Bongo5

Tekno wa Nigeria kutumbuiza jijini Dar kwenye mkesha wa mwaka mpya

tekno-miles-1

Msanii wa Nigeria anayefanya vizuri kwa sasa na hit song yake ‘Duro’, Tekno Miles anatarajiwa kutua jijini Dar es salaam wiki hii kwaajili ya kufunga mwaka na mashabiki wake wa Tanzania.

tekno-miles-1

Tekno ambaye wiki chache zilizopita ameachia wimbo mpya ‘Wash’ unaoendelea kufanya vizuri, anatarajiwa kufanya show kwenye siku ya mwisho ya mwaka huu December 31, kwenye ukumbi wa King Solomon jijini Dar.

Kupitia akaunti yake ya Insta, Tekno aliyewahi kudaiwa kuwa na mahusiano na Agnes Masogange ameonesha...

 

9 years ago

Michuzi

MKESHA WA MWAKA MPYA DMV WAFANA

 Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini akihesabu sekunde zilizoslia kuelekea mwaka mpya kwenye sherehe ya mkesha wa mwaka mpya 2016 iliyofanyika Lanham, Maryland siku ya Alhamisi Desemba 31, 2015 iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania DMV na kuwakutanisha wana DMV na familia zao wakiwemo marafiki kutoka majimbo mengine huku wengine wakiokea Tanzania. PICHA NA KILIMANJARO STUDIOWafuangaji champagne wakiwa tayari kama kikosi cha mizinga wakisubilia sekunde zilizobaki kuingia mwaka 2016 kuachia...

 

10 years ago

Michuzi

WATOTO 63 WAZALIWA MKESHA WA MWAKA MPYA 2015

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii 
Jumla ya watoto 63 wamezaliwa katika mkesha wa mwaka mpya 2015 katika hospitali za Temeke,Kinondoni pamoja na Ilala jijini Dar es Salaam.
Hospitali ya Temeke wamezaliawa watoto 19,Muuguzi wa zamu ,Rolester Kinunda alisema watoto 10 ni wakiume na tisa (9) ni wa kike  na wazazi wa watoto hao wamejifungua salama na wameshapewa ruhusa .
Hospitali ya Amana Ilala watoto 21 wamezaliwa 11 wakiwa ni watoto wa kike  na wakiume 10 na  mapacha moja na kati ya watoto hao 21...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani